Kwa mkoa wa Mbeya dalali nipo hapa

Kwa mkoa wa Mbeya dalali nipo hapa

Nataka nyumba nzuri ya familia yenye fensi,self pia yenye bustani/back yard.maeneo ya tarafani/sokoni.
 
Chumba cha biashara maeneo ya ndani ya chuo mzumbe,t.i.a teku or must...vipi kinaweza kupatikana
 
Natafuta nyumba yenye sifa zifuatazo, iwe na vyumba viwili vya kulala, sebule, jiko, iwe ndani ya fensi, iwe inajitegemea maji na umeme, nyumba iwe imejengwa hivi karibu ni maeneo ni VETA, block T, Forest mpya, nane nane. Ofa yangu ni 150 kwa mwezi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna nyumba veta! Ina vyumba vitano vyote master! Plus kuna mabanda ya kufugia kama ni mpenzi wa kufuga.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom