Kwa mkoa wa Mbeya dalali nipo hapa

Kwa mkoa wa Mbeya dalali nipo hapa

Zipo Sae karibu na pipeline 80,000 tu

Sawa Bosi, vipi Mawasiliano ya Kuweza kufika hapo Sae. Pia unaweza angalau kutuwekea Picha kwa wale ambao hawapo Mbeya kwa sasa? Tuweze kujionea hali ya nyumba. Plz
 
Tuwasailiane kwa no hii 0716432002,utazipenda tu
 
Kha!watu wengne bhana asa we mkuu ndo nini kuja kutangaza hiyo apartment yako hapa afu eti hakuna udalali kha!kwann nawe usiweke tangazo lako jaman
 
Kwa hiyo angetangaza hapa ila udalali ukawepo ingekua fresh tu au?
 
Back
Top Bottom