lendila
JF-Expert Member
- Sep 26, 2012
- 5,806
- 4,370
Kwa misingi ya mwalimu nyerere aliyoijenga,ni vigumu sana kuendesha hii nchi kama rudwa,ni swala la muda tu,ukitaka kuendesha tanzania kama rudwa,inamaana unabomoa misingi yote aliyoijenga mwalimu nyerere,na watanzania hawezi kukubali misingi ya taifa ikabomolewe
Kumbuka hata misingi ya chama cha tanu,ni Utu,na undugu,na sio kubaguana kwa misingi ya dini,rangi,itikadi,ama kabila
@kigodachamwalimu
@kanisakatoliki mpo?
Kumbuka hata misingi ya chama cha tanu,ni Utu,na undugu,na sio kubaguana kwa misingi ya dini,rangi,itikadi,ama kabila
@kigodachamwalimu
@kanisakatoliki mpo?