Kwa Million 1.5 ya kuanzia

Udochi

JF-Expert Member
Jul 25, 2015
782
1,056
Nataka nianzishe Biashara ya Kuuza chips na mishikaki Dar.

Kwa kumtafuta kijana wa kuendesha Biashara
ambapo Mimi mwenyewe nitakuwa naenda Kila jioni kuangalia maendeleo ya Biashara.

Sina uzoefu wowote,
Sina kifaa chochote.

Naomba nisaidiwe
i)mchanganuo wa mahitaji/vifaa muhimu kwa Kuanzia,

ii)Namna ya kuiendesha, kuisimamia na malipo kwa huyu kijana,

iii)Ukusanyaji wa mapato,

iv)Changamoto zake na
Namna ya kuzikabili.

Karibuni wazoefu na wajuzi.
 
Kitimoto ni rahisi kuiendesha na kupata faida kama wewe ni mkristo nakushauri ufanye hiyo, kwa sababu ukinunua kilo kumi unakuwa unajuwa faida itakuwa shilingi ngapi
 
Back
Top Bottom