Kwa miji ya Africans

Traxtion

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2021
Posts
6,201
Reaction score
12,563
Umewahi kujiuliza kwa nini Waafrika hususani sisi weusi tunadharauliwa sana? Actually sababu sio rangi yetu ya ngozi pekee, bali kuna sababu nyingi mno kwa nini Waafrika wanadharauliwa sehemu nyingi duniani
Actually sababu zipo nyingi ila kwa leo acha tuangalie miji
Unaweza kushangaa ila ukweli ni kwamba miji ni moja ya sababu kwa nini Waafrika tunadharauliwa

Mfano angalia picha hii. Hapa ni Seattle, Marekani

.

Halafu angalia na picha hii. Hapa ni Lagos, Nigeria

.

Unaona tofauti gani?
Hauoni kama sehemu moja ina resemble civilisation na nyingine inaonesha disorganisation?

Hii ndio sababu tunadharauliwa, hata vitu vidogo kama cities tunashindwa kumaintain
 
Tunaishi Kama wanyama wa mwituni , ujinga wa MTU mweusi ni wa kudumu ,hata hawa wasenge walioko madarakani na Tabia zao za kishetani ndio reflection ya tabia nyingi zetu watu weusi
 
Tunaishi Kama wanyama wa mwituni , ujinga wa MTU mweusi ni wa kudumu ,hata hawa wasenge walioko madarakani na Tabia zao za kishetani ndio reflection ya tabia nyingi zetu watu weusi
Kwa kweli inasikitisha sana
Na ukiangalia vitu vizuri kwenye miji ya Africa kama treni za umeme, madaraja, barabara, flyover, airports, nk unakuta zimejengwa na Wachina au Wajapani etc. Ina maana sisi hatuwezi au. Tupo nyuma in everything
 
Na hio baiskeli imepakiwa hapo wangesha iba zamani
 
Tatizo letu waafrika tunaishi kwa kukalili kumtukuza ngozi ya mtumba, ndiyo chanzo cha kuanza kuzalau hata vitu vya kwetu wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…