Kwa miaka 50 ya uhuru wa nchi, watz tuna uhuru??

Mwangaza

Senior Member
Feb 26, 2008
198
64
Kutoka kitabu cha ‘Binadamu na Maendeleo’ kilichoandikwa na Mwalimu Nyerere, Mwalimu alisema ili binadamu awe huru anatakiwa awe na uhuru katika njia tatu;-

1. Uhuru wa Kujitawala,

2. Uhuru wa kutosumbuliwa na njaa maradhi na umaskini pasipo sababu za msingi na

3. uhuru wa mtu binafsi.

JE WATANZANIA KWA MIAKA HIYO MIAKA 50 TUNA UHURU??
 
Back
Top Bottom