mtoto wa kibopa
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 5,369
- 6,530
jana katika kupumzisha akili nilikuwa na gal wangu sehemu,nilichokiona sikuamini macho yangu.ni shemej yangu yupo na bwana mwingne tena kabeba na mtoto mdogo wakiingia nyumba ya wageni bila hofu. kwa bahati nzuri au mbaya mm hawakuniona.nilichofanya nikumpgia simu mumewe na kumuulza kama yupo na shemeji akanijibu hivi... SHEMEJIO KAENDA NA MTOTO KWA WAZAZI WAKE(WAKWE) KUWASALIMIA ANARUDI KESHO(LEO JUMAPILI)mwisho wa kunukuu.Basi nikazugazuga kwamba nilikuwa nataka kumsalimia ila moyoni niliumia kuona anasalitiwa.naogopa kuharibu ndoa ya watu nimepiga kimya.
My take
Usimwamini mwanamke kwa kila kitu.hebu fikiria kamwaga mumewe kwamba anaenda kuwasabahi wazazi tena kabeba na mtoto ili mumewe amuamini vizuri.duu nyie viumbe mnatisha nimewakubaliii
Sema yote Mkuu
ungemua mbia tu aamue mwenyewe nyie ndo mnawauwa nduguzenu kwa kuficha mabaya yao au ungemwita huyo shemu na umuonye ndio usimwambie bro ila umetoa onyo.sasa ww hujachukua hatua yoyote
mie nadhani ingekuwa ni vizuri sana kama haa ungemwita huyo shemejiyio ili aone kuwa kaonwa na hivyo basi labda asiingeendelea na hiyo segment ilobakia kwenye huo uzinzi wake hapo na pia kwa kiasi fulani ungekuwa umemwokoa ndugu yako dhidi ya hayo majanga tena kuliko kukaaa kimya kama ambavyo umefanya
Huyo mwanamke ni m.p.u.m.b.a.v.u ,hajui kama mtoto kuna siku ataropoka?Wanawake ndivyo walivyo,lakin upande mwingine hata sisi ni walewale,let it be,hayo ndo maisha siku zinasonga.
we bado ulikuwa unawaamini , nobody should be trusted.
"the ones to trust are the dead ones only"
Hahahaha ndo nimesema mkuu.wanatua hv hv 2najiona
And vise versa is trueMy take
Usimwamini mwanamke kwa kila kitu.hebu fikiria kamwaga mumewe kwamba anaenda kuwasabahi wazazi tena kabeba na mtoto ili mumewe amuamini vizuri.duu nyie viumbe mnatisha nimewakubaliii
Mi nawaza huyo mtoto watamuweka wapi? Maybe you misunderstood the whole situation! Labda kwao kulikuwa kumejaaa, kaka yake akamsindikiza lodge wajipumzishe.
Mimi na Mdingi kuna siku tulienda Mkoa ambao hatuna ndugu kabisaa kwenye reception ya ndugu yetu. Tulivofika tu tukaongozana kuchukua rooms hotel moja katikati ya jiji. Mimi na Mzee, mimi na handbag, Mzee na briefcase ya kizushi, hao yeye mbele, mimi nyuma tukaingia hotelini kukodi rooms.
Sasa kama ungekuwa hutujui, jinsi Mzee wangu alivo kijana mtu mzima kishkaji ungefikiria vibaya sanaaa! Very bad! Hata muuza vyumba alipata insinuations mbaya sanaaa! Hadi alivoniita nakuniuliza Wewe unataka chumba gani, nikamwambia cha juju Baba! Ndo wakajua okay! Kumbe mdingi wake.
SO SOMETIMES ITS NOT EXACTLY WHAT YOU THINK!!!!!!!!!!
usimwamin mwanamke,hata kama akiwa amekufa.