Umenifanya nikumbuke kitu fulani, siku najifungua golini alikwepo Dr. mshkaji wa baba mtoto..ilienda vizuri sema hii ilikuwa coincidence hatukupanga.
Mpe tafu rafiki/ ndugu yako amhudumie mkeo.
Kweli, mimi ni doctor wa akina mama kama kuna anayehitaji msaada karibu tafadhali
Nitakuja,ni-PM namba yako nikutafute!
Bora kaka/mdogo wako kuliko rafiki. Hata hivyo kama hakuna option nyingine nitafanya tu hivyo japo kwa shingo upande.Duh hii ishu ni ngumu sana kuitolea maamuzi bila kuwa katika hali husika. Ni rahisi sana kwa sasa hvi kusema hapana, lakini wakati umebanwa huenda huyo mtu wako wa karibu ndiye anayeweza kuwa msaada wa pekee uliopo utafanyaje? Well acha rafiki suppose huyo daktari ni kaka/mdogo wako?
Over my unconscious body nitafanya kosa kama hili.
daaah shem wangu achungulie na kujua ramani ya k yangu ..hapana kwa kweli..
daaah shem wangu achungulie na kujua ramani ya k yangu ..hapana kwa kweli..
Kaka mdogo/kaka yako anamfunua shemeji yake unaona ni ishu ndogo tu?Bora kaka/mdogo wako kuliko rafiki. Hata hivyo kama hakuna option nyingine nitafanya tu hivyo japo kwa shingo upande.