Mimi CCM
Once again nasikitika kuona jukwaa la JF linatumika ku-judge, kudhalilisha na kutukana watu. :A S angry:Ningefurahi iwapo tungeweka heshima kwa wote hata wale walio tofauti na sisi kirangi, kilugha, kidini, kisiasa, kielimu, kiuchumi na kadhalika. Kukaa wote hapa jamvini hakumaanishi kuwa wote hatuna akili kama wewe au tuna matatizo.Ndio maana huna akili na maisha yako ni magumu.
Once again nasikitika kuona jukwaa la JF linatumika ku-judge, kudhalilisha na kutukana watu. :A S angry:Ningefurahi iwapo tungeweka heshima kwa wote hata wale walio tofauti na sisi kirangi, kilugha, kidini, kisiasa, kielimu, kiuchumi na kadhalika. Kukaa wote hapa jamvini hakumaanishi kuwa wote hatuna akili kama wewe au tuna matatizo.
Just a word: Master degree holder, good procurement specialist, living abroad. CCM is the initials of my names and of course nilishachukua changu mapema.
Badilikeni wenyewe,hatuwezi kuwa nyumbu kiasi hicho.Acha blah blah,mabadiliko ni lazima mwaka huu. Chagua Lowassa
Ndio maana huna akili na maisha yako ni magumu.
Kwa hiyo unafikili kuwa wewe unaakili kuliko huyo jamaa nafikili usingetukana Hilo tusi