Kwa Mfano Mwamba Angesomea Harvad Ingekuaje?

Wakuu
Hapa najiuliza maswali kwa mfano mwamba mwenye kiburi cha elimu angepata bahati ya kupita harvad ingekuaje?
Au elimu yake ingesaidia kugundua mfumo wowote hata wa kodi kwenye nchi hii hali ingekua vipi?
Yaani achana na hizi elimu za hapa kwetu kijijini ambazo kiukweli tofauti ya msomi na asiesoma wala haipo tena muda mwingine asiesoma anaakili sana kuliko aliesoma!
Sasa muulize elimu yake hiyo ya kukariri ina impact gani kwenye hiki kijiji chetu utakuta vichekesho sana hata kule mtaani kwao haijafanya lolote la maana, yaani hata wanafamilia wake tu hawajauacha umaskini.
Nawaza angepita alipopita Obama, Chenge, ingekuaje?
Mkuu samahani unaweza nipa mfano wa akili sana ya aliesoma na asiesoma hapa kwetu. Mambo gani wamefanya wasiosoma yanayothibitisha kauli yako?
 
Wakuu
Hapa najiuliza maswali kwa mfano mwamba mwenye kiburi cha elimu angepata bahati ya kupita harvad ingekuaje?
Au elimu yake ingesaidia kugundua mfumo wowote hata wa kodi kwenye nchi hii hali ingekua vipi?
Yaani achana na hizi elimu za hapa kwetu kijijini ambazo kiukweli tofauti ya msomi na asiesoma wala haipo tena muda mwingine asiesoma anaakili sana kuliko aliesoma!
Sasa muulize elimu yake hiyo ya kukariri ina impact gani kwenye hiki kijiji chetu utakuta vichekesho sana hata kule mtaani kwao haijafanya lolote la maana, yaani hata wanafamilia wake tu hawajauacha umaskini.
Nawaza angepita alipopita Obama, Chenge, ingekuaje?
Hivii hapa TZ walioenda kusona Harvard wameleta maajabu gani? Mnijulishe jamani.
 
Maji mngeita mmaaaa

,ila hata hao hao waliosoma Havard wanakubali kazi yake kwenye Usimamizi wa uchumi.

So acheni wivu na kutembea kwenye madhaifu yake
 
Magu alikuwa sahihi kumuweka jamaa bench.
Magu naye aliingia mkenge japo alikuja shtuka baadae. Unajua kipaji kimoja alichonacho Nchembe ni kunyenyekea kwa unafki. Jamaa anajua kweli kweli kusoma marais na kuwanyenyekea kama mtumwa. Huyu hata haiba yake ni kama wale manamba viongozi wakata mkonge. Ana tabia za kimanamba-manamba kweli kweli.
 
Elimu ni elimu tu iwe ya dodoma university au ya havard university ilimradi ni degree au phd
 
Aliemteua kuwa Waziri wa Katiba na Sheria kufuatia kifo cha Dr. Augustino Mahiga ni nani?

Usiwe unabisha vitu usivyokuwa na uhakika navyo.
Iyo wizara ilikuwa na maana gani kwa Madillu?, unakurupuka tu kengele wewe.
 
Magu naye aliingia mkenge japo alikuja shtuka baadae. Unajua kipaji kimoja alichonacho Nchembe ni kunyenyekea kwa unafki. Jamaa anajua kweli kweli kusoma marais na kuwanyenyekea kama mtumwa. Huyu hata haiba yake ni kama wale manamba viongozi wakata mkonge. Ana tabia za kimanamba-manamba kweli kweli.
Ndiyo amuambie mama umepatia sana kunipa hii wizara, huyo madellu anajipendekeza kishamba sana.
 
Magu alikuwa sahihi kumuweka jamaa bench.
Aliyemrudisha alikuwa nani kama sio Mwendazake? Ukweli unabakia pale pale,pamoja na shida zake binafsi kama za Mwendazake ila Bado ndio Senior na anaaminiwa.

Mengine ni fix zenu tuu
 
Back
Top Bottom