babalao 2
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 5,426
- 3,309
Wakuu pamoja na kujipa Moyo kwa makada watiifu wa ccm kuhusu wanachoita "Anguko la Nasary 2015"
Mmaranguoriginal alikuja hapa juzi na mbwembwe nyingi za kupamba mkutano wa harambee kwa ajili ya Kusaidia vijana kupitia chama cha ccm kujikwamua kiajira.
Cha Ajabu mpaka sasa si mandla wala mmarangu wote kmya. Mkutano ulidoda sana na viwanja vya Leganga vilivyo vikubwa ni kama kulikuwa na chanjo ya wafuga mbwa kwa idadi ya watu.
Vijana hawahongwi kirahisi hivo jipangeni kisera. Meru bado ni ngome imara ya Chadema acheni siasa za kuchafua watu mtafanikiwa. Nasary ni kiongozi aliyekaribu na wananchi waliomchagua.
Cc: mmaranguorijino, Mandla.