CCM Yatoa milioni 2 kwa mtandao wa maendeleo ya vijana Meru

mmaranguoriginal.

JF-Expert Member
Jan 1, 2014
4,060
459
Wanajamvi,

Kama ilivyo kawaida ya CCM kuwajali vijana, leo kupitia mkutano wa vijana wa mtandao na katibu wa wilaya CCM Meru NDUGU AKYOO wametoa karibu shilingi milioni 2 kwa hawa vijana,

Mosi kuwasaidia KULIPIA KODI YA PANGO LA OFISI yao ya SACCOS wanaotarajia kuizundua mwishoni mwa mwezi wa sita,mwenyekiti wa mtandao huo akitoa shukrani zake kwa bwana JOHN D. PALLANGYO ambaye ni kamanda wa vijana CCM kimsingi ndiye aliyetoa msaada huo kwa niaba ya CCM, amewataka vijana kuendelea kukiamini CCM na kuwaomba wadau wengine wa kuwasaidia vijana hao wajitokeze ili kuinua uchumi wa vijana wa Meru.

Nawasilisha
 
Nilidhani bilioni kumbe milioni? Ama kweli! Hizo ndizo zitawaletea maisha bora vijana wote wa Meru?
 
hiyo ni kwa ajili ya kulipa kodi ya nyumba we kenge

mbona modem hamusemi maana nimeambiea mmepewa na modem ili muongeze kasi za kumshambulia Nassari nyie ni wapumbavu sana kuna vijana wengine wako huko nawasikitikia sana kweli njaa ya ubongo na kuwaza kutumia ------ kazi sana...
 
crashwise nakujua unapenda matusi.kuhusu la modem huo ni uzushi na uongo hao vijana wengi wao ni madaktari na wasomi mbalimbali hawana njaa kama katibu wa mbunge wa nasari BWANA NDONDE kaamua kubwaga manjanga kwa uroho na ubahili wa nasari.machicha ya mbege wewe
 
mkuu umenena hawa bavicha,joshua nasar anatafuna pesa yote inayokuja mpaka ya kuendeshea ofisi yake na kumuacha katibu wake anapiga miayo tu

kwa post hii, ni uthibitisho tosha kuwa hicho kikundi chenu siyo cha maendeleo bali ni kutafuta namna ya kuiokoa ccm hasa kutafuta namna gani vijana wa meru wataikubali ccm nimeingia kwenye group lenu nikakuta mnamjadili mchumba wa Nassa Joshua nikaona ni kundi lililo jaa matahira...huwezi kujadili maebdelea kwa kujadili mke/ mchumba wa Nassari huo ni wenda wazimu...
 
crashwise nakujua unapenda matusi.kuhusu la modem huo ni uzushi na uongo hao vijana wengi wao ni madaktari na wasomi mbalimbali hawana njaa kama katibu wa mbunge wa nasari BWANA NDONDE kaamua kubwaga manjanga kwa uroho na ubahili wa nasari.machicha ya mbege wewe

hata mimi nakujua nanina wajua wengi wenu mlioko kwenye hicho kikikundi njaa..mna hongea mil 2 za modem unakuja kujitapa hapa... si niborabungekaa kimya tu, tunaojua tungekuchunia
 
eti wasomi, hata kapuya ni msomi tena prof kumbe ni prof wa kubaka yatima hata bungeni tunawaona madr njaa....ccm hata ukiwa msomi huna tofauti na maji marefu...niliona badiko la kuhusu serikali tatu nikasoma comments za wapuuzi wengine kama 30 nilicheka sana hata uelewa wenu ni bora hata mavi yana akili..
 
kwa post hii, ni uthibitisho tosha kuwa hicho kikundi chenu siyo cha maendeleo bali ni kutafuta namna ya kuiokoa ccm hasa kutafuta namna gani vijana wa meru wataikubali ccm nimeingia kwenye group lenu nikakuta mnamjadili mchumba wa Nassa Joshua nikaona ni kundi lililo jaa matahira...huwezi kujadili maebdelea kwa kujadili mke/ mchumba wa Nassari huo ni wenda wazimu...

crashwise,humjui mmaranguoriginal wewe hapa nipo dar mbezi beach na wadau wanatupa taarifa kedekede vijana wa hapo nimepewa taarifa kwamba hawana itikadi ya chama chochote kujiunga nao na hilo la kuoa joshua nasari kuliongelea hapo nitawasiliana na katibu wa ccm wilaya kulipatia uhakika
 
Wanajamvi,

Kama ilivyo kawaida ya CCM kuwajali vijana, leo kupitia mkutano wa vijana wa mtandao na katibu wa wilaya CCM Meru NDUGU AKYOO wametoa karibu shilingi milioni 2 kwa hawa vijana,

Mosi kuwasaidia KULIPIA KODI YA PANGO LA OFISI yao ya SACCOS wanaotarajia kuizundua mwishoni mwa mwezi wa sita,mwenyekiti wa mtandao huo akitoa shukrani zake kwa bwana JOHN D. PALLANGYO ambaye ni kamanda wa vijana CCM kimsingi ndiye aliyetoa msaada huo kwa niaba ya CCM, amewataka vijana kuendelea kukiamini CCM na kuwaomba wadau wengine wa kuwasaidia vijana hao wajitokeze ili kuinua uchumi wa vijana wa Meru.

Nawasilisha
Kila mara CCM iko makini na ndicho chama pekee chenye dhamira ya kweli kwa watanzania. Hivi vyama vingine ni NJAA tu ndo inawasumbua.
 
mbona modem hamusemi maana nimeambiea mmepewa na modem ili muongeze kasi za kumshambulia Nassari nyie ni wapumbavu sana kuna vijana wengine wako huko nawasikitikia sana kweli njaa ya ubongo na kuwaza kutumia ------ kazi sana...

huu mtandao hata joshua nasari anaruhusiwa kuchangia kwa mujibu wa taarifa nilizopewa kwa sababu hawana itikadi yoyote
 
mbona modem hamusemi maana nimeambiea mmepewa na modem ili muongeze kasi za kumshambulia Nassari nyie ni wapumbavu sana kuna vijana wengine wako huko nawasikitikia sana kweli njaa ya ubongo na kuwaza kutumia ------ kazi sana...
Kwani Nassari ni NANI? Subiri October 2015 uone atakavyosaga meno.
 
Kutoka Billion 200 walizochota toka Escrow Account wewe unapewa senti lkn unafurahia!
 
sijui hawa ccn wamelaaniwa. hivi hiko kijimbo kimoja tu wameking'ang'ania kama ruba.
ukitoa majimbo yaliyo na wabunge wavuta bange kama msigwa, lema na sugu mengine yote ningefurahi sana kama wapinzani wangeshinda na hata waongeze mara 2 au 3 ya hayo. maana haya ma-ccm yatabinafsisha mpaka wake zetu tusipokuwa makini nayo.

Back
Top Bottom