Kwa aliyeko Singapore naomba tuwasiliane, nipo hapa Mandarin Orchard hotel, Orchard road. Tafadhali tuwasiliane japo tupate mda wa kuchat kwenye kijiwe cha kahawa nakubadilishana mawazo baada ya saa za kazi.
Mkuu nashukuru sana lakini hiyo mitaa mbona siyo mizuri maana shughuli za mtaa huo hazileti picha nzuri hasa ukizingati Malaya na mashoga nido maeneo yao hayo, hivyo basi safri nyingine jaribu kufikia hotel mabayo haipo maeneo hayo, ni wazo tu.

Mkubwa, wazo lako ni zuri lakini ujue kwamba hii ni mara yangu ya kwanza kuwa singapore, zaidi ya ku-stop over nikienda mahali pengine. Nipaonapo hapa, ni mahali pa kati kabisa mwa Singapore. Ni mahali ghali sana, lakini la hilo malaya ni kitu kinategemea ww unapenda nini.
Mkuu kama uko huku tuwasiliane tupige story, naona nimezungukwa na mijitu ya asia tu hapa, comapany ni finyu.