Kwa mdada

Kwa mdada

Tasia I

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2010
Posts
1,223
Reaction score
193
Mimi sio mwenyeji saana wa Dodoma ila napafaham kidogo.
Pia ninapapenda, mara kadhaa nilishakuwepo kwa mapumziko binafsi.
ishu ni kua nina marafiki kadhaa na ndugu Dom ila sina rafiki msichana/mdada.

Mdada yeyote wa Dodoma anae hisi kua huru kua rafiki kwangu, kiroho safitu, ki- MMU
naomba ani-PM. Nitakua dodoma next week kimapumziko toka leo.
kutembea sehem tofauti za kiserikali kama ofisi, taasisi, sehem za kihistoria, sehem za starehe, n.k
ni interest kwangu napokua na muda wa kupumzika.

Angalizo, MDADA UWE MTU MZIMA TAFADHALI. MIAKA 18 and above.......
 
Back
Top Bottom