Crystal field theory
JF-Expert Member
- Sep 16, 2014
- 951
- 412
habari zenu wanajamvi...
Ninaimani muwazima wa afya.... dhumuni La kukimbiliaa apa jamvini, kwa mdada ambaye yupo single naomba ani PM maana nahitaji Faraja..
Nimwaka sasa toka niachane na Ex wangu.... CV yangu ni mwanafunzi wa ud naingia mwaka wa 3 BSC petroleum chemistry... Nina 25 years