Kwa mbali naona Trafiki waleee

Ndugu yangu kama kuongelea kitu usichokijua ni shaba basi kukaa kimya dhahabu Uswahilini matola kuna misikiti si chini ya minne kwa taarifa yako! na mingine ni mikongwe haikuanza jana wala leo.
 
'ukimchinja, nipitishie kilo zangu mbili home' ndivyo askari aliyesimama mkono wa kuume alivyosema
 
Ndugu yangu kama kuongelea kitu usichokijua ni shaba basi kukaa kimya dhahabu Uswahilini matola kuna misikiti si chini ya minne kwa taarifa yako! na mingine ni mikongwe haikuanza jana wala leo.

Asante!
 
Abood na Sumri,nani ana mabasi mengi?...Bisha!
 
hee makubwa yaani umenitamanishaje?
yani hapa mate yanatoka tu na wateja
wananishangaa ngoja nitoke hapa
 
Hapo kama maafande wenyewe ni side boy na Ommy lazazima wamwachie jamaa apite tuu.
 
Misikiti yote uliyotaja sahihi isipokuwa umesahau pia karibu na Olefea kwenye kona kuna msikiti siku hizi.Zamani haukuwa msikiti ila siku hizi ni msikiti umebadilishwa.
Nawasilisha kwa taarifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…