Kwa mbali naona Trafiki waleee

anamtesa nguruwe wa watu bure, bodaboda bwana
 
Hahahahahahaha:smile-big:Bujubuji hii kali!!! Sasa hapa TRAFFIC aamue; afuate 1/2 kg butchery au asubiri niuze nimletee kitu kidogo chake
 
Suala la haki za wanyama Tanzania bado kabisa. Nafikiri nchi za wenzetu ukikutwa hivi, una kesi kubwa ya kujibu.
 
Bahati mbaya akutane na Trafiki wote wawili ni swala tano alafu wapo kwenye mfungo hapo sasa........!!
 
Zi wapi haki za wanyama?

Hayo mandhari naona kama Mbeya hivi.
 
Tupo kwenye mfungo usituharibie swaumu yetu
 
:embarrassed1::embarrassed1::embarrassed1::embarrassed1:....................jaman wa2 njaaa kwel..duu kwel majanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…