Kwa mazoezi ya Mandata niliyoyaona Oysterbay nashauri Kesho timizeni haki yenu muondoke

Nimewahi mara nyingi nyingi kubahatika kukutana na mazoezi ya Mandata ( Watoto wa Tata Nyakoro ) katika Kambi zao mbalimbali hapa Jijini Dar es Salaam na Kuzizoea ila kwa mazoezi ' niliyoyachungulia ' leo kupita ' tobo ' la Bati pale Oysterbay Undatani nashauri sana na chonde chonde nawaombeni wale mtakaoenda kutimiza haki yenu Kesho kaitekelezeni na ondokeni tu haraka na kwa wale ambao labda leo hii wamelazwa ' Gesti ' huku wakiwa ' Mabaunsa ' kusudi Kesho wakafanye ' harakati ' zao wasithubutu kwani wanaweza wakasababisha Familia zao nyingi zikawa katika ' Maombolezo ' ya Kutukuka.

Na kilichonishtua zaidi na hadi kuamua kuja haraka sana humu kuwaonya mapema kuhusu Kesho ni kwamba kuna zoezi moja la mwisho walikuwa wakilifanya ambapo niliwaona karibia Mandata wote pale wakipiga ' Kung Fu ' ambazo hata ' Muasisi ' mwenyewe Bruce Lee sikuwahi kuona akizipiga katika zile Sinema zake Kali za ' Fist of Fury ', ' Big Boss ' na ' Enter the Dragon ' hadi kupelekea Mimi kuishiwa nguvu, kusisimka na kuwaonea huruma waliopanga kufanya ' Harakati ' zao Kesho hasa katika mitaa yetu ya Kinondoni.

Hivi kama wao wenyewe tu ( Mandata ) ambao walikuwa ni wengi kidogo pale Uwanjani Oysterbay na kufanya ' demo ' yao moja ya dakika 15 tu ya jinsi ya kukabiliana na wenye ' viherehere ' vya kufanya ' Harakati ' Kesho ilisababisha Mandata kama 73 hivi Kuzimia na wengine Kujeruhiwa kwa ' drills ' zao japo baadae waliamka kwa ' ukakamavu ' walipomuona Boss wao ( Tata Nyakoro ) japo walikuwa ' wakipepesuka ' Kimtindo hivi itakuwaje Kesho wakiamua kuhamishia hiki walichokuwa wakikifanyia majaribio leo kwa wenye nia mbaya / wafanya harakati?

Msiseme sijawatahadharisha mapema.

Shikamooni Mandata wote hasa wa Oysterbay!

Hao polisi wanaishi uraiani kumbuka!
Na ni ndugu zetu pia kumbuka
 
Akili ndogo
 
Waambie hao waliokutuma kama wanajiamini waje bila ile kitu ya mzungu. Mkono kwa mkono waone na mazoezi yao hayo. Askari polisi mchumba tu hakuna anachojua kila cku tunawaona wanavyotiwa vibao na watoto wa JKT
 
Gentamysin we boya kweli, unaheshimu mbunye kuliko mambo ya maana,, shwaini kabisa , mbunye zipo hata kuzimu utazikuta tuu,, pambana pumbav wewe!!
 
Sema tu raia huwa hawataki shari. Ila hawa askari wa Tz, raia wakiamua wanawapa kipondo na bunduki zao.

Mm nacho omba. Polisi yoyote asiye fuata taratibu za kazi, ashughulikie kama muarifu mwingine tu.
 
Yani mimi sio mkaz wa kinondoni lakin kesho mapema tuuh na wana tunatia team kinondoni for backup wakianzisha varangati wanaweza kutuua wote nawaambieni ya kenya ila itakua cha mtoto
 
Leo ni kumwaga mboga...hapa nlipo nmeshaamka namalizia kula ugal ili asubh ikifika niwe vizur kwa mpango kazi
 
Kuna ' Mandata ' wanne niliwaona wanapiga ' Kung Fu ' wakiwa angani na mmoja wao alipotua tu chini ' Figo ' yake ikafeli japo kuna zoezi lingine walipewa hapo hapo na ' Figo ' yake ikaamka na haikufeli tena hadi mazoezi / mafunzo yao yanamalizika jioni ya leo.

Hao ndio wale wanaouwana kwajili ya mapenzi?
 
Nimewahi mara nyingi nyingi kubahatika kukutana na mazoezi ya Mandata ( Watoto wa Tata Nyakoro ) katika Kambi zao mbalimbali hapa Jijini Dar es Salaam na Kuzizoea ila kwa mazoezi ' niliyoyachungulia ' leo kupita ' tobo ' la Bati pale Oysterbay Undatani nashauri sana na chonde chonde nawaombeni wale mtakaoenda kutimiza haki yenu Kesho kaitekelezeni na ondokeni tu haraka na kwa wale ambao labda leo hii wamelazwa ' Gesti ' huku wakiwa ' Mabaunsa ' kusudi Kesho wakafanye ' harakati ' zao wasithubutu kwani wanaweza wakasababisha Familia zao nyingi zikawa katika ' Maombolezo ' ya Kutukuka.

Na kilichonishtua zaidi na hadi kuamua kuja haraka sana humu kuwaonya mapema kuhusu Kesho ni kwamba kuna zoezi moja la mwisho walikuwa wakilifanya ambapo niliwaona karibia Mandata wote pale wakipiga ' Kung Fu ' ambazo hata ' Muasisi ' mwenyewe Bruce Lee sikuwahi kuona akizipiga katika zile Sinema zake Kali za ' Fist of Fury ', ' Big Boss ' na ' Enter the Dragon ' hadi kupelekea Mimi kuishiwa nguvu, kusisimka na kuwaonea huruma waliopanga kufanya ' Harakati ' zao Kesho hasa katika mitaa yetu ya Kinondoni.

Hivi kama wao wenyewe tu ( Mandata ) ambao walikuwa ni wengi kidogo pale Uwanjani Oysterbay na kufanya ' demo ' yao moja ya dakika 15 tu ya jinsi ya kukabiliana na wenye ' viherehere ' vya kufanya ' Harakati ' Kesho ilisababisha Mandata kama 73 hivi Kuzimia na wengine Kujeruhiwa kwa ' drills ' zao japo baadae waliamka kwa ' ukakamavu ' walipomuona Boss wao ( Tata Nyakoro ) japo walikuwa ' wakipepesuka ' Kimtindo hivi itakuwaje Kesho wakiamua kuhamishia hiki walichokuwa wakikifanyia majaribio leo kwa wenye nia mbaya / wafanya harakati?

Msiseme sijawatahadharisha mapema.

Shikamooni Mandata wote hasa wa Oysterbay!
Mwongo ww na vitambi vyao vimeyeyuka ama?
 
Kuna ' Mandata ' wanne niliwaona wanapiga ' Kung Fu ' wakiwa angani na mmoja wao alipotua tu chini ' Figo ' yake ikafeli japo kuna zoezi lingine walipewa hapo hapo na ' Figo ' yake ikaamka na haikufeli tena hadi mazoezi / mafunzo yao yanamalizika jioni ya leo.
Acha umbeya bwege wewe, dume zima unachungulia dirishani
 
Back
Top Bottom