Kwa mawebsite designer, pamoja na mawebmaster

hbi

JF-Expert Member
Feb 6, 2011
678
297
Jamani ndugu zangu web designer na web master wa hapa Tanzania naomba tujadili juu ya suala la "Website Vulnerabilities" , je chanzo chake kikuu ni nini nadhani tukishajua chanzo itakua rahisi kutafuta ufumbuzi wake wakudumu. Je tatizo huanzia kwa
  1. Web designer
  2. Web hosting
  3. Technology used
  4. Other
Tujadili kwa pamoja .... karibuni katika mjadala huu wa wazi
 
Back
Top Bottom