KIM KARDASH
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 5,139
- 1,153
Kwan manji ni m'b0ngo?
hakuna kitu hapo ni change zetu za BOTNi Meku nasikia
Manji ni mtanzania acheni ubaguzi wa rangi.hongera sana Manji itasaidia kuongeza nafasi za ajira tanzania.
matusi gani hayo mkuu!mbona hakuna tusi lolote,can you please paraphrase your heading to reflect the message that you had intended to send to us!
samahani mkuu ni bora ukaedit na uipange isomeke vema
hakuna kitu hapo ni change zetu za BOT
Dah nilitaka nikugongee like Bahati mbaya natumia simu... Jibu hilo ndio mahala pake..Bora change zetu zinatumika hapa nchini kuliko zingetumika nje ya nchi.
SIO KILA KITU LAZIMA KIFANYWE NA WAKENYA HATA SISI TUNAWEZA,ASANTE SANA YUSUF MANJI KWA KITU KIZURI.
ODINGA ALIVYOZINDUA JENGO LA QUALITY CENTRE
Waziri Mkuu wa Kenya, Raila Odinga jana Nov 25, 2011 alifungua Jengo la kibiashara la kisasa la Quality Centre lililopo Barabara ya Nyerere jijini Dar es Salaam. Pichani ni Mhe. Odinga (kulia) akiangalia bidhaa za Super Market ya Uchumi inayomilikiwa na Wakenya iliyomo kwenye jengo hilo....ODINGA ALIVYOZINDUA JENGO LA QUALITY CENTRE - Global Publishers Wahudumu wa mapokezi wa Jengo la Quality Centre, Amina (kushoto) na Zuhura wakiwa na nyuso za tabasamu wakati wakikaribisha wageni wageni
KWA MAPICHA ZAIDI GONGA HAPA,UTAELEWA KWA NINI NAMPONGEZA FISADI HUYU MTOTO
Mkuu huyu mtu kwa kashfa alizonazo chi hii,sidhani kama kuna lolote la maana la kumpongeza,nimtembelea hiyo link,nimemuona na mshikaji wake Lost la Aiziz alikuwepo nae ndani ya ufunguzi wa jengo ilo
Mzee wa vijisenti ,vijisenti vyake vinanufaisha wathungu huko Ulaya
Kwan manji ni m'b0ngo?