Kwa matumizi haya Ajira Tanzania itakuwa ndoto

Jul 25, 2016
24
13
Hivi leo hii imetumika shilling ngapi katika sherehe hii na ingeweza kulipa watumishi wapya wangapi?,
Wasomi wa Tanzania hamuoni kuwa twendako ni kubaya kuliko tulikotoka?
 
Kuna ukweli kwajinsi unavyo dai lakini nguvu ikimilikiwa na mtu ujue hakuna Uhuru wakujieleza bora Inge milikiwa na watt
 
Back
Top Bottom