Kwa matokeo haya ya Kidato cha Sita naombeni ushauri wenu

Director Kruzy

New Member
Dec 7, 2019
3
4
Mm nimemaliza kidato Cha 6 mwaka 2022 kiuhalisia nimepataje matokeo mabaya yaan Division 3 ya 14 Combination EGM
Economics D
Geography E
Mathematics E

Ila na ndoto za kusoma Degree ya accounting ila kulinga na TCU siwez kusoma tena

Naombeni ushauri wenu nirudie mtihani, niende diploma au foundation course
 
Soma foundation course ya Open University miezi 6 baada ya hapo omba bachelor degree unayoitaka katika chuo chochote utimize ndoto zako

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Piga foundation kozi..uendelee mbele.

#MaendeleoHayanaChama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…