Kwa matokeo haya nitasajiliwa kama private candidate?

Kwa matokeo haya nitasajiliwa kama private candidate?

Assume civics-C, history-c, geography-F, English-F, kiswahili-F, biology-C na mathematics-F. Hapo ana C3 aya tuambie atasoma combination gani ndalichako wa jf?
Ningekusaidia ila Tatizo lako unauliza kwa Kejeri


This Is the home of Great Thinkers
 
Kaka tatizo unachanganya school candidate na private candidate.
kwa school candidate hawezi pata kwa huo ufaulu ila kwa private candidate sifa anazo, credit 3 na pass 5. Sasa changamoto inakuja kwenye hiyo F ya history kwa huu usawa wa ndalichako inaweza msumbua mbeleni hivyo kama ana muda arudie tu hilo somo ili kujiweka sehemu salama zaidi kwa badae.
Alafu usichanganye private school na private candidate maana uwezo wako wa kupambanua mambo unaonekana ni mdogo kama chembe ya haradani.
Sawa wewe una uwezo mkubwa wa kupambanua mambo ndiyo maana unasema private school na private candidate. Uwezo wangu najua ni school candidate na private candidate. After all nilikuwa nachangia school candidate sina cha kuongea kuhusu private candidate
 
Nataka kufanya mtihani wa form six private candidate Nina C English in language,C kiswahili,C literature in English, D civics,D biology, F geography,F history, F math.nitasajiliwa?
Kigezo cha form 6 School candidates ni division I-III ukiwa na C 3.
 
Kaka tatizo unachanganya school candidate na private candidate.
kwa school candidate hawezi pata kwa huo ufaulu ila kwa private candidate sifa anazo, credit 3 na pass 5. Sasa changamoto inakuja kwenye hiyo F ya history kwa huu usawa wa ndalichako inaweza msumbua mbeleni hivyo kama ana muda arudie tu hilo somo ili kujiweka sehemu salama zaidi kwa badae.
Alafu usichanganye private school na private candidate maana uwezo wako wa kupambanua mambo unaonekana ni mdogo kama chembe ya haradani.
Private school=school candidate??wewe ndiye mwenye uwezo mkubwa wa kupambanua mambo? Kolomije wapo wengi sana humu
 
Ona sasa ulivyo mweupe kichwani.
wacha nikuelimishe kama mwanafunzi wa primary maana ndo level zako.
Private candidate ni wale namba zao zinazoanza na P na School candidate ni wale wanaoanza na S.
tatizo unaamini ukiwa private school lazima uwe ni private candidate.
Sibishani na kilaza mimi.kwanza unajichanganya hujielewi kabishane na mbiriri wenzako
 
Umeona kuna sehemu mtoa mada kaandika School candidate?
tatizo husomi neno kwa neno.
Wewe umeandika private school na mimi nikakusahihisha kwamba ni private candidate na Cyo private school kuwa mwelewa.
 
Wewe umeandika private school na mimi nikakusahihisha kwamba ni private candidate na Cyo private school kuwa mwelewa.
Acha ujuha unataka kusema hakuna private school na private candidate?
Nimekwambia tatizo unachanganya private school na private candidate.
 
Acha ujuha unataka kusema hakuna private school na private candidate?
Nimekwambia tatizo unachanganya private school na private candidate.
Wai kwenda huko.wewe ndiye uliyechanganya.uliandika private school ukimaanisha ukimaanisha private candidate kwa nilivyoiona comment yako.anyway tuyapotezee tu sipendi kubishana kwenye vitu visivyo na mantiki
 
Ah Unavigezo Vyote Unasajiriwa Comb Yeyote Mze Wackutshe Wengne Wakulupukaj Awajui Lolote
 
Nataka kufanya mtihani wa form six private candidate Nina C English in language,C kiswahili,C literature in English, D civics,D biology, F geography,F history, F math.nitasajiliwa?
Ndio
 
397944e4cb074aa26f0cd6c2c6404356.jpg
 
WEWE NDIYO HUJUI!! ILI KUJIONA ULIVYO HUJUI NENDA BAMAGA HEADQUARTER YA NECTA THEN FIKA MAPOKEZI ULIZA NA UTAPEWA SIMU UONGEE NA MHUDUMU ATAKUTOA TONGOTONGO

[HASHTAG]#UsidanganyeWatu[/HASHTAG]
Ni kweli Mimi ni mfanyakazi nilienda kuhakiki vyeti necta dar nilivyofika pale nikauliza na ilo swala nilipewa sim ya mezani kuongea na mhusika akanambia kwa school candidate siwezi soma Ila nijisajili kama private candidate then nichague comb
 
Kwa uelewa wangu kuhusu hili ni hivi. Cha kwanza kinachozingatiwa ni kuwa na C tatu. Kubalance kwenye masomo ya mchepuo utakaosoma advanced level ni nasaha tu ili usije ukapata ugumu mkubwa kusoma somo ulilo-fail vibaya o'level. Ila shule nyingi hasa za serikali zinazingatia ku-balance comb kwa km 90% hivi. Hapo inamaanisha sio wote wanaofanya mtihani wa f6 huwa wamebalance comb kwa matokeo yao ya f4. Hii ina-apply kwa school candidatates (from either public/government schools or private schools) na kwa private candidates. Ndio maana unaweza kukuta mwanafunzi mwenye div3 kachaguliwa kwenda kusoma PCB licha ya kuwa na mf CCD ya com hiyo kwa matokeo ya f4!Huyu anakuwa na credits ktk masomo mengine nje ya comb yake. I stand to be corrected.
 
Nataka kufanya mtihani wa form six private candidate Nina C English in language,C kiswahili,C literature in English, D civics,D biology, F geography,F history, F math.nitasajiliwa?
Unasajiliwa bila tatizo kwa comb za arts
 
Back
Top Bottom