tulyfrance
Member
- Sep 11, 2016
- 16
- 2
Naomba kujua nimeaply serkal health clinical medicine ,ambavyo sina math, Nina c-bios,phy d,chem d,engl c,history c, je? Naweza kuchaguliwa???
Last year niliomba hiyo kozi ( bio c, chem, c, math d, engli B, phy c, )nikakosa. cut of points zilikuwa 17 na 16...i.e div 1! vyuo vitatu vya serikali nilikosa.. kibaha, Kilosa, lugalo.... Vijana wengi wa kwenda form five hawaendi kwa sasa wanakimbilia huko.Private unapokelewa kufanyaa cheti,, serikalin competition ni kali mnooooo
Private unapata faster,,, serikalin mahitaji ni machache sana kwendana na miundombinu,,,,, apply privateLast year niliomba hiyo kozi ( bio c, chem, c, math d, engli B, phy c, )nikakosa. cut of points zilikuwa 17 na 16...i.e div 1! vyuo vitatu vya serikali nilikosa.. kibaha, Kilosa, lugalo.... Vijana wengi wa kwenda form five hawaendi kwa sasa wanakimbilia huko.
nakubaliana na wewe, tatizo ni ada kubwa, vinginevyo nafasi private ni nyingiPrivate unapata faster,,, serikalin mahitaji ni machache sana kwendana na miundombinu,,,,, apply private
Duh.. sasa kwa huo ufaulu wako, umeaxhwa government duuh... kweli watu hawaendi AdvanceLast year niliomba hiyo kozi ( bio c, chem, c, math d, engli B, phy c, )nikakosa. cut of points zilikuwa 17 na 16...i.e div 1! vyuo vitatu vya serikali nilikosa.. kibaha, Kilosa, lugalo.... Vijana wengi wa kwenda form five hawaendi kwa sasa wanakimbilia huko.
Duh.. sasa kwa huo ufaulu wako, umeachwa government duuh...Last year niliomba hiyo kozi ( bio c, chem, c, math d, engli B, phy c, )nikakosa. cut of points zilikuwa 17 na 16...i.e div 1! vyuo vitatu vya serikali nilikosa.. kibaha, Kilosa, lugalo.... Vijana wengi wa kwenda form five hawaendi kwa sasa wanakimbilia huko.
hapana mwaka 2015, ushindani ni mkali serikalini. Niko form five nowDuh.. sasa kwa huo ufaulu wako, umeachwa government duuh...
Au ulimaliza kitambo sana
Ila ni vyuo vya afya tu... ila kozi zingine kama kilimo, mifugo watu wanachaguliwa government na wanapata sponsor kwa.marks za kawaida sanahapana mwaka 2015, ushindani ni mkali serikalini. Niko form five now
Uko sahihi. Nisaidie ni vyuo gani vya kilimo, mifugo unaweza soma, vizuri. Please and please. Sponsor sodhani kwa diploma.Ila ni vyuo vya afya tu... ila kozi zingine kama kilimo, mifugo watu wanachaguliwa government na wanapata sponsor kwa.marks za kawaida sana
Mifugo ni Tengeru, Madaba..Uko sahihi. Nisaidie ni vyuo gani vya kilimo, mifugo unaweza soma, vizuri. Please and please. Sponsor sodhani kwa diploma.
sponsor inawezekana? Vijana wengi wanapenda uganga, nafasi ni chache, ushindani unakuwa mkubwa.Mifugo ni Tengeru, Madaba..
Kilimo ni Uyole, ukiriguru e.t.c
naona tangu jana website ya nacte haifunguki. vipi wewe inafunguka?Mifugo ni Tengeru, Madaba..
Kilimo ni Uyole, ukiriguru e.t.c
Me sijajaribu ku-open mkuu...naona tangu jana website ya nacte haifunguki. vipi wewe inafunguka?