haifunguki, wapuuzi sana. ni msimu wa application , siku tatu hakuna website. wapuuzi wakubwaMe sijajaribu ku-open mkuu...
Kwa hyo hadi leo inagoma kufunguka...?
haifunguki, wapuuzi sana. ni msimu wa application , siku tatu hakuna website. wapuuzi wakubwaMe sijajaribu ku-open mkuu...
Kwa hyo hadi leo inagoma kufunguka...?
Ila nacte zinaombwa kozi za afya na ualimu kwa vyuo vya serikali... Kama unataka makozi mengine Nacte hawahusiki, ni vyuoni moja kwa mojaMe sijajaribu ku-open mkuu...
Kwa hyo hadi leo inagoma kufunguka...?
OK, hivyo vyuo unapataje fomu zao. wamevuruga kila kitu.Ila nacte zinaombwa kozi za afya na ualimu kwa vyuo vya serikali... Kama unataka makozi mengine Nacte hawahusiki, ni vyuoni moja kwa moja
Ni kutafuta website ya chuo ukitakacho then unadownload form na kisha unaituma chuo husikaOK, hivyo vyuo unapataje fomu zao. wamevuruga kila kitu.