LUOGA BABBITT
Member
- Aug 27, 2016
- 12
- 1
Physics C, Chemistry A, Biology A, History c,geograph c, civics c,kiswahili c, English c, maths d
Naona kama nimechelewa vile au vipi wadaunenda advance level,
UNATAFUTA KIKI KIJANA.. Uwe na matokeo haya mpaka sasa bila kufanya koz yeyote ni jambo la kushangaza. hiv muda wote ulikuwa wapi? kama ulijisahau hata ndugu na wazazi wako walijisahau ? maana umechelewa kote, advance na hata vyuo vya nacte.. sasa kujisahau kwa namna hii utakuja pata madhara makubwa baadae. ila ninachoona unatuzingua tuuPhysics C, Chemistry A, Biology A, History c,geograph c, civics c,kiswahili c, English c, maths d
Hujachelewa chochote dogo my take nenda haraka advance PCBPhysics C, Chemistry A, Biology A, History c,geograph c, civics c,kiswahili c, English c, maths d
UNATAFUTA KIKI KIJANA.. Uwe na matokeo haya mpaka sasa bila kufanya koz yeyote ni jambo la kushangaza. hiv muda wote ulikuwa wapi? kama ulijisahau hata ndugu na wazazi wako walijisahau ? maana umechelewa kote, advance na hata vyuo vya nacte.. sasa kujisahau kwa namna hii utakuja pata madhara makubwa baadae. ila ninachoona unatuzingua tuu
UNATAFUTA KIKI KIJANA.. Uwe na matokeo haya mpaka sasa bila kufanya koz yeyote ni jambo la kushangaza. hiv muda wote ulikuwa wapi? kama ulijisahau hata ndugu na wazazi wako walijisahau ? maana umechelewa kote, advance na hata vyuo vya nacte.. sasa kujisahau kwa namna hii utakuja pata madhara makubwa baadae. ila ninachoona unatuzingua tuu
NilifanyaUNATAFUTA KIKI KIJANA.. Uwe na matokeo haya mpaka sasa bila kufanya koz yeyote ni jambo la kushangaza. hiv muda wote ulikuwa wapi? kama ulijisahau hata ndugu na wazazi wako walijisahau ? maana umechelewa kote, advance na hata vyuo vya nacte.. sasa kujisahau kwa namna hii utakuja pata madhara makubwa baadae. ila ninachoona unatuzingua tuu
Kama kweli hujachaguliwa A level unashangaza na kama ni tatizo la fedha subiri mwakani NACTE wakifungua uombe Vyuo vya Afya, japo watafungua tena tarehe 01/9 lakini vyuo vingi vilivyobaki na nafasi ni vya Private.Physics C, Chemistry A, Biology A, History c,geograph c, civics c,kiswahili c, English c, maths d
Nilifikiria kama weweInaonekana kijana ulienda advance na matokeo yakawa mabaya. Pole sana
Kama sivyo weka namba yako ya mtihani wa o level
Kozi ipi itafaa upande wa afya?Mbona matokeo ni yenyewe kweli! Nacte inakuhusu tena afya ndio poa sana
Medical lab, pharmacy, optometry na c,oKozi ipi itafaa upande wa afya?