Kwa matokeo haya anaweza kusoma Kozi gani za Afya?

Kwa matokeo haya anaweza kusoma Kozi gani za Afya?

Orketeemi

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
5,514
Reaction score
14,173
Wakuu poleni na majukum,

Nimeombwa ushauri hapa nikaona nililete kwenu maana humu kila kila aina ya wabobezi.

Huyu kina anataka asome kozi za afya na matokeo yake ni haya :

PHYSICS. " F"
CHEMISTRY " B"
BIOLOGY. "C"
MATHEMATICS "C"
ENGLISH " B"

Kiujumla ana Division Two ya point 19.
 
Kikwazo ni F ya physics
 
Mwaka juzi mdogo wa rafiki yangu nilimpeleka pale mgao kipindi kile Physics ukiwa na F unasoma ila kwasasa mtaala umebadilika bila D husomi.
 
Back
Top Bottom