mkuu utafiti niseme ukweli nimeanza kuingiwa na hofu kubwa sana juu ya timu yangu, tunakoelekea ni aibu tupu, wacha tuone mwisho wake, ila mimi sitakubali kuzama na hili jahazi, Man U si mama yangu bwana.

Morning my baby....umeamkaje?
Hahahaha duh me siwezi kusema hivi....
Mbona timu zote za england zimefungwa goli hizohizo iweje kejeli ManU TUU?
Chelsea 0 - 2 Barcelona
Arsenal 0 - 2 Bayern Munchen
Olympiakos 2 - 0 Manchester United