Ase syllabus mpya IPO WAP mkuu?? Naitafuta sana aise embu tuwasiliane sivikumbuki waandishi ila nilivitumia enzi nikiwa Mzumbe nawezawasiliana na wadau apo Mzumbe mkuuSamahani wadau mimi ni mwl wa biashara syllabus mpya kuanzia kidato cha kwanza kuna mada ya Entrepreneurship mpaka kidato cha nne je ni vitabu gani ni vizuri vyenye hii mada..
Thanks mkuuItakua complicated sana kuna somo la agriculture ambalo huwa IPO baadh ya shule na ni optional labda wangefanya compulsory kwa shule zote maana kwenye agriculture wanasoma vtu ving vya business
Ndio hivyo ndugu angu wao wanadhania yakuwa kila kitu ni siasa pekeeHii ni nzuri,
Sijui kwa nini wanataka kuifungia Jamii Forums wakati tunawapa mawazo?
Hili wazo la kupanua masomo ya reflect soko la ajira /kujiajiri limetoka hapa hapa Jamii Forums,
Napendekeza pia kwenye hilo somo la biashara, kuwe na agriculture business as kama nchi tunategemea sana kilimo kama uti wa mgongo...