Kama mkalimani ecole ni shuleNatumaini mu wazima: nisaidie tafsiri ya nyimbo zake zifuatazo.
1. ECOLE
2. ALLO TELEPHONE..
hata kwa lugha ya kiingereza ingenifaa. Najikuta kupenda kuzisikiliza... Nisaidieni nijue yaliyomo nisije nikawa nasikiliza nyimbo (wimbo) zenye matukano.. Karibuni
Chérie na ngai aza kitokoNatumaini mu wazima: nisaidie tafsiri ya nyimbo zake zifuatazo.
1. ECOLE
2. ALLO TELEPHONE..
hata kwa lugha ya kiingereza ingenifaa. Najikuta kupenda kuzisikiliza... Nisaidieni nijue yaliyomo nisije nikawa nasikiliza nyimbo (wimbo) zenye matukano.. Karibuni
Na jina lako likahifadhiwe kwenya makabati yote ya Africakama mkalimani ecole ni shule
Liwekewe na ka sanamu kadogoNa jina lako likahifadhiwe kwenya makabati yote ya Africa
[emoji28][emoji28]Na jina lako likahifadhiwe kwenya makabati yote ya Africa
Aisee basi kifaransa na kilingala kinatupiga chenga wengi...mpaka leo cjapata tafsiri ya hizo nyimbo... Basi nifurahie tu vinanda