Upcoming PRO
Member
- Apr 16, 2019
- 5
- 2
Sikuwa nafikiria ikiwa Kuna siku namimi nitakaa nakuanza kuchart na AI lakini Leo katika utulivu wangu namimi nikaona niijaribu hii teknolojia ya Chatgpt.
Nikiri TU teknolojia inaenda kuwa msaada mkubwa Kwa wale wapendao kujifunza vitu vingi kwa urahisi lakini vile vile Nina wasiwasi akili za wanadamu zinakwenda kudumaa katika kujishughulisha ..inshort tunakwenda kuwa too much dependent on akili mnemba