kijana wa leo
JF-Expert Member
- Nov 28, 2011
- 2,856
- 7,005
Leo nilivomwambia boss siingii kazini namsindikiza lowasa akanuna sana nikwamwambia basi anikate kwenye salary yangu ya mwisho wa mwezi huu akakubali, badae kwenye maandamano nikaona gari yake kumfata anacheka tu, ikabidi nimuulize vp bado utanikata mshahara akacheka sana akasema eti kwa sababu nimemuona basi hatonikata mshahara hahahahahahhahaha haya ni mafuriko naona boss wangu alikua anajaribu kuyazuia kwa mkono