Analogia Malenga Platinum Member Joined Feb 24, 2012 Posts 5,292 Reaction score 10,842 Jul 10, 2023 Thread starter #21 Watu8 said: Mbona ni karibu kila msimu huu kuna baadhi ya siku huwa hivyo nyakati za asubuhi na mapema, haswa vitongoji vilivyo miinukoni kama Mbezi Mwisho, Goba, Madale, Tegeta Wazo, Mpiji, Kisukuru, Pugu n.k... Click to expand... Nipo mjini kwenu kitambo, nipo moja ya sehemu hizo zenye miinuko ila sikuwahi kuona ukungu mwingi namna hii, hivyo nikakumbuka nyumbani
Watu8 said: Mbona ni karibu kila msimu huu kuna baadhi ya siku huwa hivyo nyakati za asubuhi na mapema, haswa vitongoji vilivyo miinukoni kama Mbezi Mwisho, Goba, Madale, Tegeta Wazo, Mpiji, Kisukuru, Pugu n.k... Click to expand... Nipo mjini kwenu kitambo, nipo moja ya sehemu hizo zenye miinuko ila sikuwahi kuona ukungu mwingi namna hii, hivyo nikakumbuka nyumbani
Analogia Malenga Platinum Member Joined Feb 24, 2012 Posts 5,292 Reaction score 10,842 Jul 10, 2023 Thread starter #22 Mr Devil said: Wanaume wa dar wana shangaa ukungu Click to expand... Nimetokea mkoani ndani ndani huko, anaelewa berylyn . Kuona hali hii nimestuka kwa kuwa najua Dar ukungu unasomwa shuleni tu haujawahi kuonekana
Mr Devil said: Wanaume wa dar wana shangaa ukungu Click to expand... Nimetokea mkoani ndani ndani huko, anaelewa berylyn . Kuona hali hii nimestuka kwa kuwa najua Dar ukungu unasomwa shuleni tu haujawahi kuonekana
The Icebreaker Platinum Member Joined Apr 24, 2014 Posts 39,511 Reaction score 122,900 Jul 10, 2023 #23 berylyn said: Leo Kuna mtu nilimwambia hii mada ya ukungu lazima nitaikuta mitandaoni mtu amepost, na kweli umepost. Click to expand... Uliniambia Mimi na imekua kweli. 😎
berylyn said: Leo Kuna mtu nilimwambia hii mada ya ukungu lazima nitaikuta mitandaoni mtu amepost, na kweli umepost. Click to expand... Uliniambia Mimi na imekua kweli. 😎
MaT2B JF-Expert Member Joined Jul 12, 2019 Posts 793 Reaction score 2,379 Jul 10, 2023 #24 The Icebreaker said: Uliniambia Mimi na imekua kweli. 😎 Click to expand... Wewe ndio bwana ake?
Lovelovie JF-Expert Member Joined Oct 2, 2021 Posts 13,008 Reaction score 27,091 Jul 10, 2023 #25 Analogia Malenga said: Aisee nimekumbuka nyumbani kwetu, hali ya ukungu ni kawaida. Leo ni mara yangu ya kwanza kushuhudia ukungu Dar yenu View attachment 2683535 Click to expand... Hii itakua Dar ya Bukoba.
Analogia Malenga said: Aisee nimekumbuka nyumbani kwetu, hali ya ukungu ni kawaida. Leo ni mara yangu ya kwanza kushuhudia ukungu Dar yenu View attachment 2683535 Click to expand... Hii itakua Dar ya Bukoba.
Analogia Malenga Platinum Member Joined Feb 24, 2012 Posts 5,292 Reaction score 10,842 Jul 10, 2023 Thread starter #26 Lovelovie said: Hii itakua Dar ya Bukoba. Click to expand... Sijawahi kufika Bukoba mtani
Wakili wa shetani JF-Expert Member Joined Nov 22, 2022 Posts 2,183 Reaction score 4,108 Jul 10, 2023 #27 Mbona kama kijijini hapo?
Lovelovie JF-Expert Member Joined Oct 2, 2021 Posts 13,008 Reaction score 27,091 Jul 10, 2023 #28 Analogia Malenga said: Sijawahi kufika Bukoba mtani Click to expand... Kuko kama hivo
The Icebreaker Platinum Member Joined Apr 24, 2014 Posts 39,511 Reaction score 122,900 Jul 10, 2023 #29 MaT2B said: Wewe ndio bwana ake? Click to expand... Kuna sehemu amesema kua aliyemwambia ni "bwana ake?" Rudia tena kusoma comment yake kwa umakini zaidi.
MaT2B said: Wewe ndio bwana ake? Click to expand... Kuna sehemu amesema kua aliyemwambia ni "bwana ake?" Rudia tena kusoma comment yake kwa umakini zaidi.