Unajua mwanzoni nilijua labda atabadilika lakini nikagundua ni mtu asiyekerwa na kuona vyombo vichafu! Nilipomuelekeza ndio amekacha hata kuja kwangu! Kumbe ni mmoja wa masistaduu ambao wanaonekana safi kwa nje tu!
Wazazi wengi wamekuwa wakiwaachia watoto wao hata kujifunza mambo ya muhimu. Wanawafanyia kitchen part ya kimbea, sendoff na baada ya mwezi mmoja binti anarudi nyumbani kisa mume anataka apike, hawezi kutandika kitanda, etc. Anachojua yeye ni kujipamba tu kutwa nzima.
^^
The secretary asilimia kubwa ya wasichana wa aina hii wanageuzwa sex toys na mashorobaro wao! Niliwahi kuleta mada humu MMU inayosema 'Unavuta watu wa aina yako'
Binti wa aina hiyo ni mzigo wa baba yake na aibu ya mama yake
^^
Kuna ndugu yangu wa kike 18 miaka, anasoma chuo karibu na ninapoishi. Yeye anaishi kwa mama yake mdogo mbali na chuo. Nilimkaribisha awe anakuja mchana anapika na kula kwangu ili kupunguza gharama za kununua chakula na ufunguo nikampatia. Chakula chote nanua naweka ndani ikijumuishwa na mboga huwa naipika na kuhifadhi kwenye kafriji kangu. Tatizo sasa, atakuja atapika na kula na vyombo anaviacha vichafu. Nikirudi kutoka kazini naviosha. Kuna siku nilisafiri na niliporudi nikaona vyombo vyote vichafu na nikaviosha. Siku moja nikamueleza kistaarabu awe anaosha vyombo anavyovitumia. Kuanzia siku hiyo hajakanyaga tena kwangu. Ninajiuliza, kumsisitiza usafi ni kosa? Hili mara nyingi linajitokeza hata kwenye ndoa kutokana na watu kushindwa kufanya vitu vidogo kama kuosha vyombo, kupika, kutandika kitanda, kupiga deki nk na kupelekea ndoa kuwa na migogoro. Wito wangu kwenu wazazi: wafundisheni watoto wenu wazijue kazi ndogo ndogo hata kama wanasoma boarding! Wakirudi likizo wajifunze hata kuosha vyombo na kufua.

Hiyo tabia ya wadada chuo kuwapa nguo watu wa usafi wafue kwakwel ilikua inanikwaza sana yan nlikua had najickia vbaya,n uvivu gan huo kufuliwa kila ktu na mtu uko mzma wa afya wala hata hauumw na ukiumwa hauna friends?Af masa nyng watu wavivu ni wachafu!Kusoma kusifanya watoto wakashindwa hata kufua nguo za. Kipindi nasoma advance kuna jamaa alikuwa anavaa nguo zikichafuka anakusanya zote kwenye begi na kwenda kuagiza hood ili zikafuliwe aafu anarudi na begi jingine lenye nguo safi. Chuoni ndio nikakutana na wadada wanaowapa wale wafanya usafi mpaka chup.i wawafulie.! Nikawa najiuliza ikilowekwa na kutolewa si wanavaa uchafu hawa? Na familia zao zitakuja kuwaje? Je, kupika ataweza huyu?
Hiyo tabia ya wadada chuo kuwapa nguo watu wa usafi wafue kwakwel ilikua inanikwaza sana yan nlikua had najickia vbaya,n uvivu gan huo kufuliwa kila ktu na mtu uko mzma wa afya wala hata hauumw na ukiumwa hauna friends?Af masa nyng watu wavivu ni wachafu!
yaweza kuwa tunamlaumu lakini watoto wakike wengi hawajui kazi za nyumbani, kuanzia kupika, kuosha vyombo, usafi wa nyumba na hata wao wenyewe pia....
Kuna wife wa mshikaji alikuja msaidia wafe wangu kazi siku wangu alipokuwa anaumwa. Alifanya kazi zote akapika mboga fresh kabisa. Ilipofika ngwe ya kupika ugali akasema yeye hajui kupika ugali!!!! Ikabidi wife amwombe jirani mwingine aje kutupikia ugali. Nilishangaa sana!!!
shukuru mungu kakupunguzia mzigo...njaa zake mwenyewe,kula ale yeye,vyombo tuoshe siye,...mbona majangaaaaaa..Unajua mwanzoni nilijua labda atabadilika lakini nikagundua ni mtu asiyekerwa na kuona vyombo vichafu! Nilipomuelekeza ndio amekacha hata kuja kwangu! Kumbe ni mmoja wa masistaduu ambao wanaonekana safi kwa nje tu!
Umenena kweli tupu ndugu yangu. Kuna wazazi wanalea watoto wao kama mayai.Mtoto akitaka kuosha vyombo au kufua anaambiwa acha, msichana wa kazi ataosha vyombo na kufua! Eti anaonesha upendo kwa watoto wake!Kuna ndugu yangu wa kike 18 miaka, anasoma chuo karibu na ninapoishi. Yeye anaishi kwa mama yake mdogo mbali na chuo. Nilimkaribisha awe anakuja mchana anapika na kula kwangu ili kupunguza gharama za kununua chakula na ufunguo nikampatia. Chakula chote nanua naweka ndani ikijumuishwa na mboga huwa naipika na kuhifadhi kwenye kafriji kangu. Tatizo sasa, atakuja atapika na kula na vyombo anaviacha vichafu. Nikirudi kutoka kazini naviosha. Kuna siku nilisafiri na niliporudi nikaona vyombo vyote vichafu na nikaviosha. Siku moja nikamueleza kistaarabu awe anaosha vyombo anavyovitumia. Kuanzia siku hiyo hajakanyaga tena kwangu. Ninajiuliza, kumsisitiza usafi ni kosa? Hili mara nyingi linajitokeza hata kwenye ndoa kutokana na watu kushindwa kufanya vitu vidogo kama kuosha vyombo, kupika, kutandika kitanda, kupiga deki nk na kupelekea ndoa kuwa na migogoro. Wito wangu kwenu wazazi: wafundisheni watoto wenu wazijue kazi ndogo ndogo hata kama wanasoma boarding! Wakirudi likizo wajifunze hata kuosha vyombo na kufua.