Kwa malaya bila kinga

Kwa malaya bila kinga

watu tunalala na wanaotumia arv tena unampa ameze mwenyewe na hatupati na SITOPATA KAMWE.
Elimu ya ukimwi ndogo sana Tanzania
ZAHRA Acha utani basi......unajua usemali linaumba,labda mwisho wa maneno useme natania,usiposema litaweza kukukuta la ajabu baadae......
Anyway Hongera kwa ujasiri....
 
Hapo lazima upime tena ndo useme huna,usijipe moyo bado kabisa!!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
mnavyomwambia apime tena naona presha yake imepanda. nyie ndio mnapeleka ngoma ndani ya nyumba. mke wako hana hatia usilale naye bila ndomu usije kumletea matatizo
 
Mnaosema michubuko hamjui hiv anapenya hadi kwenye uretha wakati wa tendo,, sio lazima michubuko muhimu kumtegemea mungu na kuacha uzinzi

The adult penile urethra is a novel entry site for HIV-1 that preferentially targets resident urethral macrophages.

Authors

Journal

Mucosal Immunol. 2013 Jul;6(4):776-86. doi: 10.1038/mi.2012.116. Epub 2012 Nov 28.

1] Department of Mucosal Entry of HIV-1 and Mucosal Immunity, Cell Biology, and Host Pathogen Interactions, Cochin Institute, INSERM, U1016, Paris, France [2] CNRS, UMR 8104, Paris, France [3] Paris Descartes University, Sorbonne Paris Cité, Paris, France.

Abstract

The penile urethra is routinely targeted by sexually transmitted bacterial and viral pathogens, and also represents a probable site for HIV type-1 (HIV-1) entry. Yet, the mechanisms of urethral HIV-1 transmission are unknown. To describe the initial steps of penile HIV-1 entry, we obtained whole penile tissues from individuals undergoing elective gender reassignment and developed ex vivo polarized explants of different penile epithelia, as well as in vitro immunocompetent reconstructed urethra. In penile explants, 1?h exposure to cell-associated HIV-1 results in higher HIV-1 entry into the urethra, whereas the fossa navicularis and glans are relatively resistant to HIV-1. CCR5+/CD4+ urethral macrophages are the initial cells infected by HIV-1, which exit the epithelial compartment following inoculation with cell-associated HIV-1 that induces decreased CCL2/MCP-1 production. Urethral T cells are mostly CD8+ or naive CD4+, and not infected by HIV-1 on its early entry. In urethral reconstructions, efficient translocation of cell-associated HIV-1 depends on viral tropism (R5>X4) and can be decreased by gp41-specific IgAs. Cell-free HIV-1 is inefficient at urethral penetration. Our results identify the male urethra as a novel entry site for HIV-1 that targets resident urethral macrophages. These results might explain the incomplete prophylactic efficacy of male circumcision in reducing HIV-1 transmission.
 
Habari wadau mimi nikijana wa chuo cha udom niliwahi kupost kufanya mapenzi na malaya bila kinga ilikuwa siku ya pasaka Dodoma mjini maeneo ya uhindini ndipo niliingia pabaya kwa kuendeshwa na nyege. Kipindi chote hicho nilikaa kwa wasiwasi takribani miezi mitatu week iliyopita nilikwenda hospitali ya mkoa nikapima namshukuru sana mungu nimeonekana sina maambukizi. Yani kwasasa sitaki kusikia neno malaya acha nibaki na utamu wangu vikizidi najichua tu kuliko stress za kijinga. Nawashauri wenye tabia kama niliyo jaribu mimi waiache kabisa bora uwe na mpenz mmoja na mpime. Ahsanteni wadau
Mkuu, ina maana wewe kutongoza huwezi kabisa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom