Kwa malaya bila kinga

vunjo

JF-Expert Member
Jun 2, 2011
1,323
2,607
Habari wadau mimi nikijana wa chuo cha udom niliwahi kupost kufanya mapenzi na malaya bila kinga ilikuwa siku ya pasaka Dodoma mjini maeneo ya uhindini ndipo niliingia pabaya kwa kuendeshwa na nyege. Kipindi chote hicho nilikaa kwa wasiwasi takribani miezi mitatu week iliyopita nilikwenda hospitali ya mkoa nikapima namshukuru sana mungu nimeonekana sina maambukizi. Yani kwasasa sitaki kusikia neno malaya acha nibaki na utamu wangu vikizidi najichua tu kuliko stress za kijinga. Nawashauri wenye tabia kama niliyo jaribu mimi waiache kabisa bora uwe na mpenz mmoja na mpime. Ahsanteni wadau
 
Oleeleee! Mangi ulikuwa hujui kama maambukizi hutapata kwa malaya bali kwa mpenzi wako unae muamin?

ni nadra sana kwa mtu kufanya ngono na malaya bila kinga so possibility ya maambukiz ni ndogo! Ila kwa mpenzi wako unae muamin kama hamjapima ni hatari sana manake utakuwa umezoea kungonoka nae bila kinga mara nyingi na ukute mwenzi wako hajatulia basi ndo kiama hicho.

afu jua real men dont pull their d.i.ck! Punyeto ya nin! Find a girl mpime muishi pamoja! Na pia condmize coz ur student hujawa tayar kuwa baba.
 
Hey, usijipige kifua. Bado huwezi kutegemea kipimo kimoja kwa hilo, inawezekana kipimo kikakosa reliability kwa asilimia kadhaa. Ulitumia kipimo gani?
 
ukimwi sio rahisi kama weng wanavyo dhani huwezi pata kirahisi mpaka udhamirie kweli ila tatizo watu wanatisha sana kua ukifanya tu bila kinga umepata na ukipata utakufa sio kweli mpaka mchubuko na kama tunavyojua kwenye uraini mchubuko unakua ni vigumu atleast labda uwe na mbo kubwa na uke uwe mdogo na upige goli ndefu
 
Mmhh!!
 
Attachments

  • uploadfromtaptalk1372049048661.jpg
    uploadfromtaptalk1372049048661.jpg
    13.6 KB · Views: 268
watu tunalala na wanaotumia arv tena unampa ameze mwenyewe na hatupati na SITOPATA KAMWE.
Elimu ya ukimwi ndogo sana Tanzania
 
Usiishie hapo tu, bali hata ukipata binti ukataka kuanza nae mahusiano hakikisha mnapima mara 2 zote ndo mlianzishe

Halafu usiendekeze genye
 
Habari wadau mimi nikijana wa chuo cha udom niliwahi kupost kufanya mapenzi na malaya bila kinga ilikuwa siku ya pasaka Dodoma mjini maeneo ya uhindini ndipo niliingia pabaya kwa kuendeshwa na nyege. Kipindi chote hicho nilikaa kwa wasiwasi takribani miezi mitatu week iliyopita nilikwenda hospitali ya mkoa nikapima namshukuru sana mungu nimeonekana sina maambukizi. Yani kwasasa sitaki kusikia neno malaya acha nibaki na utamu wangu vikizidi najichua tu kuliko stress za kijinga. Nawashauri wenye tabia kama niliyo jaribu mimi waiache kabisa bora uwe na mpenz mmoja na mpime. Ahsanteni wadau

Hii uliyopima ni mara ya ngapi? Kama hivi sasa umepima ndio mara ya kwanza, unatakiwa kusubiri miezi mitatu mingine na upime tena ndio utahakikisha kama una maambukizi au hauna maambukizi ya VVU!
 
Habari wadau mimi nikijana wa chuo cha udom niliwahi kupost kufanya mapenzi na malaya bila kinga ilikuwa siku ya pasaka Dodoma mjini maeneo ya uhindini ndipo niliingia pabaya kwa kuendeshwa na nyege. Kipindi chote hicho nilikaa kwa wasiwasi takribani miezi mitatu week iliyopita nilikwenda hospitali ya mkoa nikapima namshukuru sana mungu nimeonekana sina maambukizi. Yani kwasasa sitaki kusikia neno malaya acha nibaki na utamu wangu vikizidi najichua tu kuliko stress za kijinga. Nawashauri wenye tabia kama niliyo jaribu mimi waiache kabisa bora uwe na mpenz mmoja na mpime. Ahsanteni wadau

bora uwe na mke mmoja mwaminifu, wapenzi wengi mlio nao wana wapenzi wengine ndio maana wengi wenye wapenzi wamejikuta wana vvu pasipo kutarajia na kila mtu akabaki kumlaumu mwenzake
 
Ahsanten sana wadau kwa ushauri wenu kuwa na mpenzi mmoja ni bora zaidi mana nina mipango mingi maishan sasa nikiungua muda huu haitatimia bao mbili zije kunitesa maishani yani nikimaliza chuo naoa nitulie na wife tu.
 
Kama sikosei uliandika kwamba mkeo alikuwa kasafiri na wewe genye zikakushika kupita kiasi. Uvumilivu ukakushinda na hivyo kuamua kwenda kununua puchi puchi mtaani kwa akina CD. Dudu baada ya kuivalisha ndom ikagoma kukubaliana nawe hivyo ikabidi uivue ndom na kuanza kuchezea nonino ukiwa peku peku hatimaye dudu ikacharge na ukajilia utamu peku peku. Usirudie tena Mkuu kuyaweka maisha yako hatarini kivyo. Ukimwi upo na unauwa!!!

Habari wadau mimi nikijana wa chuo cha udom niliwahi kupost kufanya mapenzi na malaya bila kinga ilikuwa siku ya pasaka Dodoma mjini maeneo ya uhindini ndipo niliingia pabaya kwa kuendeshwa na nyege. Kipindi chote hicho nilikaa kwa wasiwasi takribani miezi mitatu week iliyopita nilikwenda hospitali ya mkoa nikapima namshukuru sana mungu nimeonekana sina maambukizi. Yani kwasasa sitaki kusikia neno malaya acha nibaki na utamu wangu vikizidi najichua tu kuliko stress za kijinga. Nawashauri wenye tabia kama niliyo jaribu mimi waiache kabisa bora uwe na mpenz mmoja na mpime. Ahsanteni wadau
 
wewe huyo malaya hakukupa game la ukweli ndio maana...ungekutana na anayejua majamboz ungerudi tena.
 
Back
Top Bottom