Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,476
- 11,673
Hatari sana..
Sie kwetu CATHORIC hatuna mambo hayo kabisa..
Huo ni wizi pigeni mawe huyo
CATHORIC Ni dini mpya??
Heshima boss!Hv mkuu unataka useme hujanielewa au unajitoa akili?
Cathoric Churc ok
Heshima boss!
Tafsiri sahihi ya maneno, hati nadhifu, mpangilio bora wa kisarufi ni dira sahihi ya kutuongoza katika majadiliano yoyote yale. Iwe katika mazungumzo ya ana kwa ana au kimaandishi. Kubali kukosolewa na huku ndiko kujifunza kwa dhana ya kimantiki.
Siyo kwamba hukueleweka, la hasha!. Pia sidhani kama aliyeulliza alichokiuliza aliamua kujitoa akili/ufahamu.
Lazima tukosoane ili tufike tunakohitaji kwenda.
Kumradhi.
HahahhaahaahahahahahHv mkuu unataka useme hujanielewa au unajitoa akili?
Cathoric Churc ok
Vitendo hivi vinawaudhi wengi lakini hawana namna. Mtu akiwaza mazishi yake yatakuwaje akijitenga na makanisa anaogopa, hivyo kuendelea kujikaza.
Kuna haja ya kuwa na umoja wa kusaidiana kiroho na faraja kipindi cha matatizo. Umoja ambao imani yake ni Mungu lakini hauwaibii watu. Maana kinachotutisha wengi ni pale mtu asiyehudhiria kanisani anapopata matatizo ama kufiwa au kufa mwenyewe. Katika kipindi kile ndipo mahubiri ya vitisho hutolewa na kuwaogofaya watu. Hofu huwafanya wavumilie kuibiwa ili mradi wanafurahia Security ya kundini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahhaahaahahahahah
Www nae mpanaaaaa. Ile mada kule ya paprika imeisha?😀Mpenzii mbona wachekaa..
Tena si moja. Zinakuwa tatu au nne. Ipo ya kawaida, sadaka ya pili ya ujenzi, ya tatu ni ya shukrani, ya nne ya kuwategemeza wapakwa mafuta, n.k,. Bado lipo fungu la kumi na michango mingine kadhaa.Ndugu tupo pamoja nini? maana nipo Angilikana hapa moro mjini. nimwendo wa sadaka!!