muhhidinramadhan
Senior Member
- Mar 26, 2014
- 140
- 63
Taarifa ya uuzwaji viwanja, nyumba, kigamboni. Na mashamba mkoa wa pwani wilaya ya mkuranga. Tuwasiliane kwa maswali zaidi. Simu no. 0713024990, Email. Muram1994@gmail.com.
Mnauza shilling ngapi kwa acre Moja mkuu?Karibuni kwa maswali na maelezo zaidi.....
Habari wakuu. Mashamba yako jinarani na vyanzo vya maji, sehemu ni wilaya ya mkuranga kitongoji cha mkiu. Pia bei ni maelewano.maana mashamba ni mengi na location tofauti. Kma mashamba ya barabarani, jirani na barabara, na mbali kidogo na barabara. vilevile inategemea na malengo au mahitaji unayo hitaji kufanya.. ardhi nzuri sanaaa...Mnauza shilling ngapi kwa acre Moja mkuu?
Yapo mkuranga sehemu gani ?
Chanzo cha maji kipo karibu na mashamba?
Ardhi siyo kichanga sana?
Wacha porojo umeambiwa utaje bei!Habari wakuu. Mashamba yako jinarani na vyanzo vya maji, sehemu ni wilaya ya mkuranga kitongoji cha mkiu. Pia bei ni maelewano.maana mashamba ni mengi na location tofauti. Kma mashamba ya barabarani, jirani na barabara, na mbali kidogo na barabara. vilevile inategemea na malengo au mahitaji unayo hitaji kufanya.. ardhi nzuri sanaaa...
Taja bei elekezi ili watu wakutafute kwa mahitaji yao sasa wewe unakuwa kama mganga wa kineyeji unataka mtu akupigie simu ndio umwambie bei?Habari wakuu. Mashamba yako jinarani na vyanzo vya maji, sehemu ni wilaya ya mkuranga kitongoji cha mkiu. Pia bei ni maelewano.maana mashamba ni mengi na location tofauti. Kma mashamba ya barabarani, jirani na barabara, na mbali kidogo na barabara. vilevile inategemea na malengo au mahitaji unayo hitaji kufanya.. ardhi nzuri sanaaa...
Bei kwa hekari yanaanzia million moja.. wakuu...taarifa ya uuzwaji mashamba mkoa wa pwani wilaya ya mkuranga. Miliki mashamba kwa hekari na kwa bei nafuu sanaa. View attachment 374081
Mnauza shilling ngapi kwa acre Moja mkuu?
Yapo mkuranga sehemu gani ?
Chanzo cha maji kipo karibu na mashamba?
Ardhi siyo kichanga sana?
Inaanzia Million moja kwenda juu au kwenda chini??Bei kwa hekari yanaanzia million moja.. wakuu...
NAOMBA NIJUE BEI GANI KWA HEKALI MOJA PLS TUAMBIE BEI MKUU SASA UNAPOSEMA TUJE WAKATI HATUJUI BEI ITAKUWAJE INABIDI TUJIKUSANYE BEI YA MUHIMU NA JE MASHAMBA VIKO KWENYE VYANZO VYA MAJI NA JE VIKO ENEO GANI SEMA HAPA HAPA MKUU JITANGAZE BIASHRA HAPA NDO TUJE HUKOHabari wakuu. Mashamba yako jinarani na vyanzo vya maji, sehemu ni wilaya ya mkuranga kitongoji cha mkiu. Pia bei ni maelewano.maana mashamba ni mengi na location tofauti. Kma mashamba ya barabarani, jirani na barabara, na mbali kidogo na barabara. vilevile inategemea na malengo au mahitaji unayo hitaji kufanya.. ardhi nzuri sanaaa...
Mbele kidogo ya avic town naweza pata heka kwa sh ngap? Pia maeneo ya magodan njia ya kwenda kongoweKaribuni...