Transistor
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 1,061
- 1,640
Japo umeweka namba lakini naomba kuukiza hapa hapa kwa faida ya wengi, hizo gharama ni pamoja na vifaa au.. Pia swali lingine kila site ina support installment mfano nina shamba langu somewhere lakini upepo sio guarantee sana je hizo turbine zitafanya kazi kweli, kama utaamua kunijibu naona unipe na % za hizo turbine kufua umeme sehemu ambazo hakuna upepo wa kutosha
tv izi za kawaida za inch 32 zinachezea 70W (na spika), taa izi za buku 1 au 2 hua zina 20W , do the mathWatts 100 naweza kutumia vifaa gani, mfano tv, radio, taa nk?
Thanks Bro, ina maana kuwasha hometheater ya 1k Watts ni 3.7m !!!!tv izi za kawaida za inch 32 zinachezea 70W (na spika), taa izi za buku 1 au 2 hua zina 20W , do the math
ndio mkuuThanks Bro, ina maana kuwasha hometheater ya 1k Watts ni 3.7m !!!!
Unawaka mkuu ni kama solar tu ila huu unategemea upepo.KaribuVipi hapa mjini nako ukifunga utawaka????
Hiyo watt100 inakua ndio moja kwa moja au kila baada ya muda matumizi yanakwisha
Mkuu nitafusilie hiki kipimo cha upepo shambani kwangu kwa kulinganisha na mahitaji ya hizo mashine zako hasa watt 1000 "Wind Speed: 3.78 mph "Kwa mahitaji ya umeme wa upepo kwa matumizi ya nyumbani,mashambani na viwandani gharama ni kama ifuatavyo
Watt 100 700,000/-
Watt 200 1,300,000/-
Watt 300 1,600,000/-
Watt 500 2,000,000/-
Watt 600 2,400,000/-
Watt 700 2,700,000/-
Watt 800 3,100,000/-
Watt 900 3,300,000/-
Watt 1000 3,700,000/-
Kwa mawasiliano zaidi piga 0629068815
LIB company
Hii habari ni njema, je suala la ufungaji ni lenu au mteja? Kwa mfano mikoani.
Sijakuelewa hii 3.78mph ndiyo speed ya upepo katika site yako?Mkuu nitafusilie hiki kipimo cha upepo shambani kwangu kwa kulinganisha na mahitaji ya hizo mashine zako hasa watt 1000 "Wind Speed: 3.78 mph "
Kama utakua una run full load kwa saa zote 24 Funga ya watt 1000 ambayo itakua inafanya auto switching za reserve bank hasa kipindi ambacho upepo unakuwa mdogo sana.kifaa changu kina watt 500 nataka kutumia masaa 24 ipi itanifaa