makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,973
- 104,429
Kwa mahitaji ya picha nzuri, kali, murua na maridadi kama hii tuwasiliane kwa 0659445718 au ni pm.. Mwenye dili za kuchora, ofisi inayohitaj mchoraj au mahali pakuanzia msaada please.
Kwa mahitaji ya picha nzuri,kali,murua na maridadi kama hii tuwasiliane kwa 0659445718 au ni pm.. Mwenye dili za kuchora, ofisi inayohitaj mchoraj au mahali pakuanzia msaada please.
Hizo picha umezichora kwa mkono?
Ndio mkuu
Ni nzuri, hivi mkuu sanaa hiyo ya uchoraji huwa mnajifunza wenyewe au hadi muisomee?
Kwa mahitaji ya picha nzuri,kali,murua na maridadi kama hii tuwasiliane kwa 0659445718 au ni pm.. Mwenye dili za kuchora, ofisi inayohitaj mchoraj au mahali pakuanzia msaada please.
Makaveli unapatikana wapi???
Hiki kipaji shule haijahusika, ila kuna baadhi wanasomea mkuu
Kazi yako ni nzuri, natumai utapata wateja hapa jf.
mi nataka unichoree picha ya mama yangu nimsapraiz nayo
ila sasa sina clear picture yake ngoja nifanye mpango
mkuu nitakutafuta unachora sana
Bei please
kazi nzuri, keep it up artist
Mkuu bei inategemea na picha yenyewe