Kwa mahitaji ya nyumba au chumba cha kupanga Mwenge, Sinza, M/nyamala na Mbezi

Sinza nina master nzuri yeye jiko ndani kwa 150,000
 
Kimara baruti nina nyumba nzuri ya vyumba viwili, ni ya kisasa, ndani ya uzio bei 300k, maongezi yapo. ni nzuri ya kueleweka
 
*FREMU KUBWA INAPANGISHWA*
inapatikana TABATA, BIMA
inatizama barabara ya lami
KODI: 120k (×6)
 
Back
Top Bottom