Kwa mahitaji ya marketing plan,business plan na business guidance kwa ujumla, tafadhali soma hapa

poorbillionaire

JF-Expert Member
Mar 4, 2014
424
239
Wakuu habari zenu humu? Kwa wenye biashara ambazo hazifanyi vizuri kama walivotegemea au kwa wale wanaotaraji kuanzisha biashara au wale wenye mitaji na hawajui wafanye biashara gani kulingana na mazingira waliyopo nawashauri wawasiliane na mimi niweze kuwapa muongozo wa jinsi ya kufanya biashara zenu ziwe zenye mafanikio ya hali ya juu.
 
Back
Top Bottom