Kwa mahitaji ya Logo Classic ya Company/Biashara yako na business Cards za kuendana na hadhi yako pitia hapa

Tapeli ww na Familia yako! Sijawah mtapeli mtu yoyote kutoka JF! Hata comments za wadau hakuna aliyecomment kuwa mm ni tapeli! Ulitaka ufanyiwe kazi bure??? Kwanini uliblock baada ya kudai Advance???? Na kazi nilisnilishatuma nimeanza Cards nimekutumia, LOGO nimekutumia kukudai Advance ni Tapeli?? Mshamba mkubwa ww!
Advance ya kazi ndivyo huwa inaombwa hivyo au wewe ni wa kwanza kuleta kazi humu jf?kabla ya kuanza kazi kwann hukumwambia gharama zako na malipo yanakuwa vipi?matapeli wa mtandaoni ndivyo mlivyo,utaanzaje kazi bila mskubaliano ya malipo then uombe hela ya chai?kati yako na mteja nani anaweza kumtapeli mwenzie kirahisi??
 
Usijitoea ufahamu! Ulishasoma bei zangu zoteee! Na napost kazi nilizofanya hapa!
 
Utapeli wake huu hapa,kuweni macho!!View attachment 1201285
Nimekufanyia kazi yako Tangu juzi! Na nilikuomba Advance ki utuuzima ! Na nilikuuliza taratibu zangu za bei c uliziona???? Napost na kz nyingine hapa! Ili wakujue kama ww ni Tapeli hii ni business Cards zote hizo nimefanya kukuomba Advance ndo uni block??? Kati mm na ww nani ni Tapeli???? Mshamba sanaa ww
NSAKUZI-01.jpg

Wadau niambeni utapeli wangu ukowap hapo???? Umenisumbua snaaa! Had nakuja kudai advance umeni block! Unafikiri hz kazi rahisi kiasi hiko??? Ww ni tapeli Wa mitandaoni! Nimefanya kaz na wadau wengi Sana'a kutoka Jf na nawashukuru mnoo! Na sijawah mtapeli mtu hizo LOGO nilizopost karibuni nyingi nimepata wateja kutoka humu! Na wengine wamekuja had ofcn kwangu!
 
Utapeli wangu ukowap??? Nimefanya LOGO 2 uchague 1 kukudai Advance ndo nimekupeli???? Kwnn uni block??? Kwni nilikulazimisha kufanya kazi na mm??? Mpaka unitafuta c ulishaona taratibu zangu???? Kitendo cha kuniblock ndo nilipokuona ww ni tapeli!
Huyu mtu alikuwa anatafuta designer nikampa namba baada ya kuiona humu akawasiliana nawewe alipoona unaanza habari za kunywa huku unaendelea na kazi akakublock faster kuepusha kutapeliwa na kurudi kwangu kunieleza unakoelekea hata polisi wanasema kujiandali na ninyi wa mitandaoni,sasa hapo kazi ipi ulikuwa umefanya ulipwe hela ya kunywa?
 
Nimekufanyia kazi yako Tangu juzi! Na nilikuomba Advance ki utuuzima ! Na nilikuuliza taratibu zangu za bei c uliziona???? Napost na kz nyingine hapa! Ili wakujue kama ww ni Tapeli hii ni business Cards zote hizo nimefanya kukuomba Advance ndo uni block??? Kati mm na ww nani ni Tapeli???? Mshamba sanaa ww
Hiyo kazi hukuifanya wewe alikutumia ubadili logo ndiyo ukaanza kumtengeneza,akakimbia
 
Huyu mtu alikuwa anatafuta designer nikampa namba baada ya kuiona humu akawasiliana nawewe alipoona unaanza habari za kunywa huku unaendelea na kazi akakublock faster kuepusha kutapeliwa na kurudi kwangu kunieleza unakoelekea hata polisi wanasema kujiandali na ninyi wa mitandaoni,sasa hapo kazi ipi ulikuwa umefanya ulipwe hela ya kunywa?
Huyu mtu ni ww! Kwani mtu mzima mwenzio lazma umwambie naomba hela??? Kumbuka mm na ww tulikuwa tunaongea kama marafiki nilivyokwambia nifanyie mpango hela ya soda niliaminii utakuwa umenielewa! Na wengi tu naongea nao hivyo! Kwann uni block??? Ww ulitaka ufanyiwe kazi bureeee! Alaf ukimbie! Mkowengi Sana'a wateja kama nyinyi
 
Alaf
Hiyo kazi hukuifanya wewe alikutumia ubadili logo ndiyo ukaanza kumtengeneza,akakimbia
Alaf usijifanye kumzungumzia mtu! Muhusika ni ww! Tuma humu Business Cards ulizotuma alaf wadau walinganishe na niliyofanya mm! Tapeli ww! Mmezoea kutapeli watu!
 
Mtu atakutapelije kazi wkt kazi na mawasiliano unayo wewe?huoni wewe ndiyo tapeli?mtu kukublock then bado ukaweza kywsiliana nae kwanjia nyingine kakosea nini?usumbufu wako wa kutaka hela ya kunywea ndiyo ulipelekea akublock
 
Natuma kila kitu chako hapa! Huu ni mwanzo tuu! Ndo maana hata LOGO niliweka watermark baada ya kukushuku ww ni Tapeli! Mteja unaongea kama motoo! Nikaona hapa hakuna mteja aisee! Natakiwa niwe makini sanaaa swala lako na kutaka kunitapeli alaf ukafeli ukaona uje unichafue limefeli aisee
 
Mtu atakutapelije kazi wkt kazi na mawasiliano unayo wewe?huoni wewe ndiyo tapeli?mtu kukublock then bado ukaweza kywsiliana nae kwanjia nyingine kakosea nini?usumbufu wako wa kutaka hela ya kunywea ndiyo ulipelekea akublock
Ulivyoni block huku nimekufanyia kazi na nimekutumia ulipatia eeh??? Sasa nitakuchafua katika platform zoteee! Umeingia cha kike ww! Na mm c chafuliwi!
 
Back
Top Bottom