Ramaa Tech
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 715
- 67
- Thread starter
- #401
kazi bado zinaendelea!
Ni kweli mkuu ila katika hizi kz za Graphics huwaga hatufanani mkuu kila 1 na uataratibu wake ba bei zake!Budness card mbna bei sana wakt wenzko wanatengneza pc 100 kwa sh.10,000
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mkuuKanzi nzuri sana nimeipenda