Kwa Mahitaji ya Hostel ya kisasa kwa Wanafunzi

Kwa Mahitaji ya Hostel ya kisasa kwa Wanafunzi

Pelham 1

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2012
Posts
548
Reaction score
100
TANGAZA MARKETING SOLUTIONS:
Mahitaji: Hostel ya kisasa kwa wanafunzi n.k ipo sinza mapambano karibu na barabara.
Elfu 80,000/= per month, maji Massa 24, Dstv k)
Kodi mwaka hadi miezi 6

Karibuni sanaaaa...
 
Hujadadavua vizuri mkuu bei hiyo ni ya mtu mmoja kumiliki room au kwa kitanda kimoja na kama room ni shared ina vitanda vingapi?hiyo dstv ni kwenye pool ndio imewekwa au kila room imeunganishwa na dstv link so ni mpangaji kuwa na Tv set au anaikuta.Uzi poa jazia nyama kidogo ili wahitaji tupate mwanga
 
Back
Top Bottom