Kwa madada mnaotafuta mahusiano

Usiwe na hasira kaka ndio mungu alivyotuumba, huoni hata faragha tunavuliwa huku tukisema thitaki huku nguo zinadondoka tu. pole kwa yaliyokukuta
 
kweli hiki kizazi cha ajabu MWANAUME anashindwa KUTONGOZA? unataka mwanamke akutongoze!!!!! eti ndo kakupenda dah no wonder mpaka ujitangaze yaani mchumba anatafutwa km bidhaa, mwanaume kuulizwa nikusaidie nini eti unakasirika!! mbona keshakurahisishia njia hapo anajua nia yako ni nini anataka kuona how strong you are!! mwanamke anahitaji security mtu atakaye rely on yaani akiwa na wewe asiwe na wasiwasi sasa kaka upewe nini hapo wewe ungekwepo enzi zetu ungeishia kupiga nyeto au kubaka kuku tuu wakati ule lazima utongoze ana kwa ana yaali LIVE sio leo nipe namba ya simu ukifika home eti unapiga unaanza sijui nakuzimia hahaaaa wenzio tushamwagiwa saaana maji visimani huko tushang'atwa saana na mbu usiku tukisubiria totoz, enzi hizo unasotea demu miezi sita, mwaka umo tuu unaimbisha. so mkuu be a man bana gangamaaa usipende kupata vitu ki rahirahisi na vitaondoka vivyo hivyoo kilaiiiniiiiiii


Nimependa hii comment,,,,,Kabisa mkuu wanaume inabidi tuwe strong zaidi....
 
Kikweli ninawasoma japo kijuujuu katika mabandiko yenu. Kuna tatizo nimegundua. Mnahusudu sana kutafutwa wakati shida ni yako. Mbona kuna mabandiko ya wanaume wakitaka wenza hamuwatafuti mnasubiri kubandika nyie ili mtafutwe? Nina mfano mdogo humu. Nilibandika tangazo langu nikaweka na namba. Binti anabip. Baadae unapiga halafu ktk maongezi anasema nikusaidie nini. What the f***k! Tunaongea ukweli tu. Una shida jilegeze. Hata hao ambao nimeshaona mabandiko yao (sija apply. Yupo bed tayari ananisubiri) pamoja na mahitaji yao bado wataleta usumbufu usio lazima. Someni tu lkn si muhimu kuchangia

Safi sana mkuu unajaribu kuwatega wanaruka vihunzi ha ha haaaa, sasa umeamua kuwachana si mchezo....:A S 13:
 
Nyie vijana hamnielewi tu? Enzi hubadilika. Pia mwanamke hawezi niambia eti nikusaidie nini. Labda kama anauza kitu fulani. Au nahitaji anielekezd jambo. Michelle isiwe kama nimekuziba mdomo. We endelea kuchana tu. May be iam learning something my own way
 
. Nilibandika tangazo langu nikaweka na namba. Binti anabip. Baadae unapiga halafu ktk maongezi anasema nikusaidie nini.

una uhakika gani kama huyo aliyebip alikuwa ni mmoja wa aliyeona tangazo lako?
Halafu mnazipunja details cv zenu ndio maana tunawapotezea.
Tunapobandika threads zetu ina maana hatujaridhika na vigezo vyenu na sisi tuna vigezo vyetu.
 
Usiwe na hasira kaka ndio mungu alivyotuumba, huoni hata faragha tunavuliwa huku tukisema thitaki huku nguo zinadondoka tu. pole kwa yaliyokukuta

ha ha ha ha! Gaga umegonga ikulu.
 
ha hah aaaaaaaa!!!!! kaka unahasira hivi tu, kuulizwa usaidiwenini!! je badae itakuwaje?? pole!!
 
Back
Top Bottom