kwa mabinti wa zanzibar tu: natafuta mchumba

Pasco_jr_ngumi

JF-Expert Member
Nov 20, 2010
1,802
282
please...
natamani nikupate uwe wangu,
nitakupenda wange wangu,
nitakupa nafsi yangu,
mimi niatoa wewe.

napenda tabia,
sio siri nina nia,
moyo wangu utatulia,
mimi nataka kukuoa wewe.

niko na elimu nzuri,
umbo ni makini kitandani,
nitakupa na nitakusitiri,
unaonanjje nikikuoa wewe!?

bahati jaribia tuwe wawili,
raha tuzikabili,
nitumie e-mail,
unaonaje uki-ni-pm, nataka kukuoa wewe.

nawakilisha..................
 
kwa nini umeamua kwenda znz tu?
CHAGUO LANGU, NDOTO YANGU, MOYO WANGU,,,,,,,,,,,ZANZIBARI.......................................TUKAMILISHE MUUNGANOsasa wewe hauko zanzibar unaanza kuhoji hvo........uwe makini bana na masharti ya hiii SREADIIIIIIIIIIIIIII
 
unajuaje kama mimi sipo znz?maybe kuuliza kwangu kuna sababu zake maalum
kwanza samani please...................... NAPENDA kuoa mtoto wa kinzanzibar, nilikuja huko mwaka huu, nimewapenda sana jamani.......kama uko huko nitafutie tafadhali nipate jiko...
 
Back
Top Bottom