Wale waliozea kuiga kila kitu usije ukajaribu huku BONGO kwani kuan dada alitolewa mkuku pale St. Peter Oyster-bay, akaanza kulalama eti yule aliyemtoa mkuku alikuwa anamtaka lakini anaogopa kumwambia