Nikukumbushe
JF-Expert Member
- Jun 4, 2013
- 2,602
- 408
Bw.Lowasa hapewi Nchi bali anachukua Nchi!
Achukue,aliiweka yeye? Hatutaki mafisadi
afadhali apewe, maana kwa miaka 9 sasa nchi ipo auto pilot! hakuna wa kuamua jambo! kila mtu analalamika! bora aje atuibie lakini awe na maamuzi endelevu!
swali hili alijibu Mwenyekiti wa kamati yake ya Ushindi, Apson Mwang'onda, yeye aliwahi kufanya naye kazi, lipi la kujivunia toka kwa LOWASSA?Kwa lipi la maana alilolifanya lowasa hadi apewe nchi? Kuna sababu nyingi za kusema Lowasa hafai kuwa rais wa nchi hii,licha ya kuwa mgonjwa wa macho na mgongo pia ni mmoja wa watu 11 waliotajwa kuwa ni mafisadi.
Amefanya nini la maana hadi tumpe nchi? Unamkumbuka kwa lipi zaidi ya kujiuzulu? Pesa zake sio tiketi kuwepo ulazima wa kuingia ikulu. Kama anatafuta umaarufu,umaarufu sio kwa mazuri tu hata ufisadi na kujiuzulu napo aljulikana ndani na nje ya nchi.
Sababu zipi za kunishawishi kumpigia kura Lowasa awe rais wa awamu ya tano?
Ndugu Masese Nakuunga Mkono sana, Edward ni kiongozi mwenye uamuzi , mtendaji na pia Fisadi (Japo ni mtenda kazi makini lakini hilo lipo) Juu ya ufisadi wake yeye anazitumia hizo pesa nchini na zinasaidi uchumi wetu, kuliko wale walioiba na kuziweka Uswisi. Ninachoogopa Jee tukimpa madaraka, ataendelea na mtindo wa kujilimbikizia mali kufidia alizotumia kuutafuta utawala kwa nguvu ya pesa zetu????

LOWASSA ni mtu mwenye maamuzi na anayethubutu,si wa kulialia kama wanavyolia na kulalamika viongozi wa sasa,haijulikani mwananchi ni nani na mwenye maamuzi ni nani
Kwa lipi la maana alilolifanya lowasa hadi apewe nchi? Kuna sababu nyingi za kusema Lowasa hafai kuwa rais wa nchi hii,licha ya kuwa mgonjwa wa macho na mgongo pia ni mmoja wa watu 11 waliotajwa kuwa ni mafisadi.