Kwa leo tu....

Kwa hiyo unakumbushia kipindi kile ulichonipoka Naki wangu?

Alinilia chipsi sana pale kwa Nata (RIP) asee

Ukaninyang'anya kama unanawa vile.

Lazima nikulipizie kipindi hiki arifu. Sikubali.
 
Mapenzi ya kweli, ninakupenda kama pete na kidole!!! Nikilala nakuota wewe tu, sili silali ni kwa ajili yako tu. Nikinywa maji ninakuona kwenye glass. Wako akupandaye millele, Wangu kipenzi cha maisha!!! Ha ha
 
Kwa hiyo unakumbushia kipindi kile ulichonipoka Naki wangu?

Alinilia chipsi sana pale kwa Nata (RIP) asee

Ukaninyang'anya kama unanawa vile.

Lazima nikulipizie kipindi hiki arifu. Sikubali.

kwa leo tu............. haturuhusiwi kukumbukia mabaya!! hahahaaaaaaaaaaaaaaaaa

Sikumpata aisee, niliteleza kila nikipanga maneno hayatoki naishia kuchekacheka, sikui akaja jamaa gani wa sekondari, anajua kizungu akavuta mzigo

I am hoping that she is still the same cute girl
 
ni kwa leo tu............ enzi zile niliandika barua na broken english, ikarudi imesahihishwa aisee
Barua yenyewe sasa na mpouda....perfumu...hahahahahaaaa acha kabisa asikuambie mtu...yaani ukipokea unaiweka chini ya mto bwenini unailalia tem nzima....
 
kwa leo tu............. haturuhusiwi kukumbukia mabaya!! hahahaaaaaaaaaaaaaaaaa

Sikumpata aisee, niliteleza kila nikipanga maneno hayatoki naishia kuchekacheka, sikui akaja jamaa gani wa sekondari, anajua kizungu akavuta mzigo

I am hoping that she is still the same cute girl
Yeah.... that natural beauty stays forever asee....

Hahahahahaaa..... binti alishobokea kingledha cha kwenye debate na drama akatupiga chini mazima?

Damn..... nakumbuka nlikuwa mtaalam wa kukatia michongoma, nikipata "kakibarua" ka kukata michongoma pale kanisani, afu mtoto akawa anapita basi mzee mzima naruka sarakasi kwenda kujificha mtoto asinione. Afu jioni nikishakamata mshiko nampigia mluzi kiaina, tunaongozana kwa Nata kupiga chipsi yai. Manina wallah!

Siku hizi ukiomba namba za simu ukapewa, inamaanisha umeshakubaliwa kumvua bikini ndani ya kuta nne. Nyambaf
 
**** sana wewe,

enzi zile za kudokoa mahindi ya shule, aisee
 
kulikua na kabinti akanitwa neema aisee, nilikua nasimamisha mnazi kila siku nimuone tu anapita toka shule... baaaasi, sikuwahi kuwambia hata neno moja mambaffff sana

hata sijui yuko wapi yule mdada aiseee, maana angejua ningechekwa sana....
 
Back
Top Bottom